 |
| Picha hii ameiandika ''Throwback tingz...#PAPINATION'' |
Kama wewe ni fan wa
Hemed PHD basi nadhani kupitia hizi picha utakuwa ume enjoy kukutana na picha zake akionyesha muonekano tofauti tofauti na aliyo yaandika kupitia Instagram.
 |
| Picha hii ameandika ''July is here and thank God for everything...challenge zimekua nyingi but we still Here!mola tuepushe na maradhi na vikwazo!tupe nguvu na ujuzi....#NEWVIDEOALERT...STAY TUNE #LOWCUT MODE ACTIVATED!'' |
 |
| Hii akaipa maneno That face u make when she says "pappi u have changed" |