Waandaji wa tuzo za AFRIMMA wanaonekana walikuwa hawajajipanga vizuri kiasi cha majina ya washindi kubadilishwa wakati huo huo tuzo zikitolewa.
Diamond ameongea na waandishi wa habari baada ya kutua kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo asubuhi na kuelezea ‘madudu’ hayo. Staa huyo amesema jukwaani alitajwa kuwa mshindi wa tuzo mbili ya Msanii Bora wa kiume Afrika Mashariki na Wimbo Bora wa kushirikiana (My Number One Remix Feat. Davido), lakini baadae yalifanyika mabadiliko na tuzo hiyo kupewa Mafikizolo na wimbo wa Khona waliowashirikisha Uhuru
“Hata producer ambaye alikuwa ametangazwa ameshinda ni Sheddy Clever kwa sababu walimuonesha mpaka anapiga kinanda, maclip yake. Kama waliweza kuedit hata vinanda vyake anapiga yuko studio ina maanisha yeye ndiye alikuwa ameshinda. Na wakatangaza collabo bora la kwangu mimi na Davido. Kwa sababu tuzo hii ndiyo tulienda kupewa kwenye stage kabisa pale. Lakini nyingine zilitangazwa kwenye TV,” alisema.
“Lakini ghafla, mpaka kesho yake tukauliza mbona hatupewi tuzo zetu mpaka sasa hivi. Kwa sababu hata dada Jide naamini anaweza kupata leo au muda mfupi leo. Sasa baadae wakaanza kusema kuna vitu vilikosewa sijui nini na nini…sikutaka tena kucomplain, kwa sababu nimeshapata yangu hii sikutaka kuleta matatizo mengine.” Kwa maelezo hayo, Diamond alishinda tuzo moja peke yake.
Chanzo: Times FM
Popular Posts
-
New Music: Chidi Benz Feat Bob Junior - Mahaba Niuwe
-
Download wimbo Kamili HAPA MKITO wa Msanii mdogo wa Umri Mkubwa wa akili aka "Jose G" akiwa amemshirikisha Legendary SpacDaw...
-
Wakati Michael Jackson akiwa amelala kwenye nyumba yake ya milele, bado familia yake imeendelea kuandamwa na tuhuma nzito zinazomhusu mfalme...
-
Baadhi wanawake siku hizi wamekuwa wakijiuliza vazi gan ambalo linafaa kuvaliwa wakati wa usiku na likawapendeza sasa unaweza kutazama pic...
-
KAULI ya nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kwamba hawezi kuoa kamwe, inadaiwa kumchefua mwandani wake, Wema Isaac Sepe...
-
Baadhi ya Mastar wa Tanzania wameamua kuweka wazi nia zao za kugombea nafasi za uongozi katika ngazi mbalimbali,miongoni mwa watu hao kwa ...
-
Beef ya mastar wa Nigeria inaonekana bado haijaisha baada ya Davido kuzungumzia kitu gani kilimkasirisha hadi bifu na Wiz Kid kutokea, Wiz...
-
Kindumbwe ndumbwe cha michuano ya klabu Bingwa Afrika mashariki na kati maafuru Kagame Cup kinaanza kesho ambapo mechi ya ufunguzi ya Kund...
Advertisement
Advertisement
Advertisement With Us