Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Monday, July 14, 2014

Video: Mtoto aliyekufa na akafufuka wakati anapelekwa kuzikwa

Waombolezaji nchini Ufilipino walipatwa na mshituko, pale mtoto wa miaka mitatu aliyekuwa amekufa na kuzinduka wakati wanampeleka mazikoni.

Kwa mujibu wa mtandao wa Mirror mtoto huyo kutoka Aurora, Zamboanga del Sur, alitangazwa kufa siku ya Ijumaa, na maziko kupangwa Jumamosi mchana.

Lakini wakati wa shughuli ya msiba, ndugu na marafiki walishtushwa wakati mtoto huyo alipofufuka. Watu walianza ku recod tukio hilo baada ya Padre aliyekuwa akifanya misa kugunduwa kuwa mtoto huyo amejisogeza, kabla ya kufumbua macho.