Msanii wa muziki Nasib Abdul aka Diamond Platinum amesema kuwa kwenye kinyang’anyiro cha kuwania tuzo za BET nchini Marekani kimempa connection nyinyi za kimuziki pamoja na kollabo ambazo zinaweza zikasaidia zaidi. Akizungumza na waandishi jijini Dar es salaam jana baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwalimu J.K Nyerere akitokea Marekani, Diamond alisema amepata connection nyingi ambazo nimapema sana kuzitaja.
Friday, July 11, 2014
Video:Diamond asema BET imempa connection nyingi, ‘ukiacha kuuza muziki kollabo ni kitu ambacho kinasaidia’
Labels:
Entertainment