Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Friday, July 11, 2014

Picha: Diamond alivyo pokelewa kishujaa

Wema Sepetu akiwa amemkumbatia Nasib Abdul aka Diamond Platnumz.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Nasib Abdul aka Diamond Platnumz ameandika
''To my surprise, this is what i found when I touched The Mwalimu j.k Nyerere airpot, Dar es salaamπŸ™Š...Trust Me! like they always say, "there is no place like Home"😟😟... [ Hichi ndicho nlichokutana nacho wakati natua airport Dar es salaam...dah! Kweli kama wasemavyo "Hakuna Mahala kama Nyumbani" πŸ˜“πŸ˜“ ]''