Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Monday, June 30, 2014

Amber Rose, mke wa Wiz Khalifa ashambulia kwapicha inayo muonyesha akiwa kwenye kitendo cha usaganaji

Picha ambayo imesababisha ashambuliwe Instagram, yeye akiwa ameiandikia ''Soooooo me and @courtneylove made out tonight. Epic! 😘''
Amber Rose ambaye ni mke wa Wiz Khalifa na mama wa mtoto mmoja ameshambuliwa Instagram baada ya kupost picha akiwa ana make 'Kiss' na mwanamke mwenzake.
Wengi wamemwambia kuwa amesha olewa na ana mtoto aache hayo ya zamani kwa heshima ya familia na malezi ya mtoto wake.

Baadhi ya comment.
dubskipp I hope you used mouthwash afterwards. You can't kiss your kid with that mouth otherwise
blam_lane Amber Rose trippin huh? @goldman_girl. She done gone off the deep end on us. Not that there's something wrong with picture y'all, because its apart of life. But she does need to be thinking about that child of hers! Straight up. 
eurolatinamay Eww, why @muvarosebud?! Out of all people you choose to kiss " Courtney Love" are you serious right now. She's a druggie who looks like she has some type of disease. Hope you're not falling like most of Hollywood now :/