Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Saturday, July 5, 2014

Kuhusiana na mashambulizi matatu ya bomu katika maeneo ya pwani ya kenya karibu na mpaka wa Somali

Mashambulizi katika eneo la Mpeketoni kenya
Kuna Ripoti ya mashambulizi matatu katika maeneo ya pwani ya kenya karibu na mpaka wa kenya na Somali. 
Maafisa wa polisi wilayani Lamu wanachunguza milio mikali ya risasi iliosikika katika kituo kimoja cha kibiashara karibu na mji wa Mpeketoni ambapo zaidi ya watu sitini waliuawa katika mashambulizi mawili mwezi uliopita. 

Kusini mwa Mpeketoni, kituo kimoja cha polisi katika wilaya ya Tanaraiver kinadaiwa kushambuliwa huku baadhi ya nyumba zikichomwa. 

Kundi la wapiganaji wa kisomali Al-shabaab limekiri kutekeleza shambulizi hilo bila ya kutoa maelezo zaidi. 

Mwandishi wa BBC nchini kenya amesema kuwa kuna polisi wengi katika maeneo ya pwani kufuatia shambulizi hilo la mwezi uliopita.