Rapper Joh Makini kutoka kampuni ya Weusi ambaye yupo jijini Nairobi, Kenya baada ya kuchaguliwa kwenye mashindano ya Coke Studio, Hizi ni picha ambazo ame share kupitia ukurasa wake wa Instagram kuonyesha bado anazidi ku pambana.
Unaweza ku download New Music 'I See Me' Joh Makini (Extended Version by XpandableDJz), hapa.
Endelea kutazama picha.
Monday, July 14, 2014
Picha: Joh Makini siku saba ndani ya Coke Studio Nairobi, hiki ndicho anacho kifanya
Labels:
Entertainment,
Photos