Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Friday, July 4, 2014

Soma hapa alicho post Shaffih Dauda kuhusiana na ugomvi wa B12, Adam na Fetty

Adam Mchomvu na Dj Fetty wakionekana wamefurahia kitu siku za nyuma
Tarehe 2 mwezi wa saba,2014 umekuwa historia ya furaha kwa maadui wa B12, Adam na Fetty napia majonzi kwa wapenzi wa XXL ya Clouds FM hasa baada ya vurugu kutoke za watangazaji maarufu wa kipindi hicho B12, Adam na Fetty nakupelekea kipindi kukatishwa.

Haya ni maneno aliyosema mtangazaji mwenzao wa Clouds FM anaye sifika kwa taarifa za michezo Shaffih Dauda juu ya ugomvi wa na kupost hiyo picha hapo juu.
"B12, Adam na Fetty..Acheni utoto. Kaeni chini muongee ili muyamalize. Mnawafaidisha Maadui zenu tuu..Angalia mpaka mmetuharibia Ofisi"