Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Friday, July 4, 2014

Yule mhalifu handsome aahidiwa $100,000 ili ashiriki katika filamu ya ngomo

Mhalifu hatari ambaye uzuri wake ulimletea umaarufu kwenye mitandao baada ya polisi kuweka picha yake (mug shot) anaendelea kutengeneza habari. 
Siku chache baada ya kumpata meneja maarufu wa Hollywood, Mhalifu huyo anayefahamika kwa jina la Jeremy Meeks amepewa ofa ya $100,000 na kampuni ya Dogfart Productions inayojihusisha na utengenezaji wa filamu za ngono endapo atakubali kushiriki katika scenes mbili. 

We think Jeremy’s look is absolutely perfect for our network.We are ready to make the dreams of hundreds of thousands of horny women and one man looking for a new start come true”.

Imesema kampuni hiyo katika maelezo yake.  Hata hivyo Jeremy ni mme wa mtu na ana mtoto mmoja hali inayoashiria kuwa kikwazo kikubwa kwa ofa ya kampuni hiyo inayoonesha filamu zilizo kinyume na maadili ya watu wasitaarabu kama Tanzania.