Kama una kidate cha jioni au usiku na huna mda wa kubadili nguo basi kigauni kimoja waweza vaa mchana na jioni.kwa mchana vaa na flats zako jioni waongeza tu vitupio baadhi unapata muonekano wa jioni.
Muonekano wako wa mchana ndo huu waweza kuwa umevaa flats sandals,au simple shoes zozote kama loafers na handbag
Kwa jioni unaongeza tu sparkle kidogo ya belt,necklace bila kusahau ckutch na hapa amevaa goldish waweza vaa hata silver pia.
Chini akamalizia na high heels za ankles but waweza vaa pumps heels pia refer kwa post ile ya viatu
Popular Posts
-
Download wimbo Kamili HAPA MKITO wa Msanii mdogo wa Umri Mkubwa wa akili aka "Jose G" akiwa amemshirikisha Legendary SpacDaw...
-
New Music: Chidi Benz Feat Bob Junior - Mahaba Niuwe
-
New Music: Monii ft Roma & GodZilla - Hatuhesabu Masaa
-
Baadhi wanawake siku hizi wamekuwa wakijiuliza vazi gan ambalo linafaa kuvaliwa wakati wa usiku na likawapendeza sasa unaweza kutazama pic...
-
KAULI ya nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kwamba hawezi kuoa kamwe, inadaiwa kumchefua mwandani wake, Wema Isaac Sepe...
-
Siku 74 baada ya kufunga ndoa na Kanye West huko Florence, Italia Kim Kardashian amefuata taratibu za kisheria na kubadili jina lake rasmi k...
-
Beef ya mastar wa Nigeria inaonekana bado haijaisha baada ya Davido kuzungumzia kitu gani kilimkasirisha hadi bifu na Wiz Kid kutokea, Wiz...
-
Men have to love the fact that twerking has gone from the hood other countries around the world. I just hope they don't think Miley Cy...
-
Kindumbwe ndumbwe cha michuano ya klabu Bingwa Afrika mashariki na kati maafuru Kagame Cup kinaanza kesho ambapo mechi ya ufunguzi ya Kund...
-
Baadhi ya Mastar wa Tanzania wameamua kuweka wazi nia zao za kugombea nafasi za uongozi katika ngazi mbalimbali,miongoni mwa watu hao kwa ...
Advertisement
Advertisement
Advertisement With Us