Hatimaye hatua ya 8 bora ya michuano ya kombe la dunia usiku wa kuamkia leo kwa michezo miwili kati ya Brazil dhidi ya Colombia na ufaransa dhidi ya Ujerumani.
Mchezo wa pili ulizikutanisha Brazil ambao ni wenyeji dhidi ya majirani zao Colombia.
Magoli ya mabeki Thiago Silva na Rafiki yake wa tangu utotoni David Luiz yakaipeleka Brazil kwenye nusu fainali dhidi ya Ujerumani.
Colombia walipata goli lao la kufutia machozi kupitia mkwaju wa penati wa mshambuliaji James Rodriguez, moaka refa anamaliza mpira Brazil 2-1 Colombia.
Mechi za leo ni Belgium Vs Argentina saa 1 usiku na Costa Rica vs Holland hii itakuwa saa 5 usiku.
Friday, July 4, 2014
Video ya magoli yote pamoja na uchambuzi FIFA World Cup 2014 mechi ya Brazil vs Colombia 2-1 ipo hapa
Labels:
Sports