Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Thursday, July 17, 2014

Baada ya matapeli wa kwenye mitandao kuzidi kutumia jina lake, Haya ndiyo aliyo sema msanii Lulu

STAA wa filamu Bongo Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema hajawahi kufungua akaunti kwenye Mtandao wa Kijamii wa Facebook ‘FB’ na kwamba aliyefungua kwa jina lake ana nia ya kuwaibia mashabiki wake.

Akizungumzia akauniti hiyo inayoonekana ni feki yenye sura ya kuwaingiza mjini mashabiki wake, Lulu alisema haitambui na wanaokubali kujiunga na ‘Lulu’ huyo wanataka kuibiwa. 
Hee nashangaa kwa kweli, yaani sielewi chochote kuhusu akaunti hiyo, sina akauti Facebook nashangaa sana kwa hilo swala wasitake kunichafulia,” alisema Lulu.