Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

‹
›

Shooting

Racing

News

Bottom

Showing posts with label Photos. Show all posts
Showing posts with label Photos. Show all posts

Tuesday, August 5, 2014

Picha: Nicki Minaj ame cover kwenye FADER's August/September 2014 issue

Nicki Minaj is virtually everywhere these days. She's hopping on remixes, just released her new single entitled "Anaconda" and is preparing to drop her new album, The Pink Print. 
Here she graces the cover of FADER's August/September 2014 issue. 
In the cover story she discusses the album's current features and producers. Ester Dean, Detail, Dr. Luke, Boi-1da are all in the mix. Nicki hopes to lock down Rihanna and Drake features, but says her Young Money label mate is "unpredictable." 

She also discusses becoming more mature, her love for Lauryn Hill and the need for female rappers to be confidant enough to express their true feelings through their lyrics.

 “I think early on in my career, I was… I was… just a little bit crazy,” she says, lightly smacking her chewing gum. “I took everything personally. That’s just not good, and it’s not healthy.” These days, she works hard to keep herself in check. “I think one of my best attributes now, as a businesswoman and an artist and a professional person, is being able to think before I speak,” she adds. “I’ve learned that everything I think doesn’t necessarily need to be stated.”     
“My point of saying what I said was that women need to have a perspective,” she starts off. “If we’re out here saying that we’re so confident, and we’re so this and so that, but we don’t even trust ourselves to write down our own thoughts and spit it on a beat?” She’s getting ignited, her volume picking up. “It just doesn’t add up.” Then she launches into a verbal love letter to The Miseducation of Lauryn Hill: “I knew those were Lauryn’s words, and it made me fall in love with her mind.”
To read the full cover story head over to FADER. In the meantime enjoy her photo shoot for the publication.





Monday, August 4, 2014

Picha: Christina Aguilera apiga picha akiwa mtupu kuonesha ujauzito wake

Mwimbaji Christina Aguilera meamua kupiga picha akiwa mtupu kwa ajili ya jarida la ‘V Magazine’ la mwezi huu. 

Katika picha hizo, mwimbaji huyo mwenye umri wa miaka 33 na mjamzito anaekaribia kujifungua, ameonesha umbo lake akiwa na mwanae tumboni huku akiwa amejifunika sehemu ya kifua chake na mikono. 

Inaelezwa kuwa Christina ndiye aliyemuita mpiga picha Brian Bowen Smith kwa lengo la kumpiga picha ili apate kumbukumbu pia kabla ya kujifungua.

Mwimbaji huyo ambaye ni jaji wa shindano la The Voice, tayari ni mama wa mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka sita aliyempata na mumewe wa zamani Jordan Bratman na sasa anatarajia kumpata mtoto wa pili na Matt.

Thursday, July 31, 2014

Picture: 'Still A Dime' Jessica Alba Covers Maxim

Jessica Alba is aging like fine wine. The 33-year old mother of two graces the cover of the September issue on Maxim.
The talented actress has grown accustomed to being in the public eye and isn't afraid to show off her sexy side.
"I’m really comfortable in my own skin." she tells the publication. "And I’m not apologizing for myself."
To read the full cover story pick up this issue, now on newsstands. In the meantime check out a couple of photos from Jessica's shoot with Cliff Watts below.


Baada ya Wema kueleza alivyo m-miss, Hizi ndizo picha alizo share Ommy Dimpoz akiwa na Wema

Siku tano zilizo pita kupitia mtandao wa Instagram, Mwigizaji wa filamu hapa Tanzania, Wema Sepetu aliandika kuwa ame mmiss msanii wa nyimbo za bongo fleava Ommy Dimpoz.
Huyu binadamu jamani tokea nimuone kwenye Mtv Awards sijamuona mpaka leo... Kiukweli nimemmiss saaaaana.... Mpuuzi wangu mwenyewe... Miss u shem lake... @ommydimpoz @ommydimpoz @ommydimpoz @ommydimpoz @ommydimpoz @ommydimpoz''
Haya ndiyo majibu ya Ommy Dimpoz ambapo ame share picha wakiwa pamoja na Wema Sepetu.


Picha hizi za Wema Sepetu na Martin Kadinda zina make headline kutizamwa kwenye mitandao

Wema Sepetu na Martin Kadinda wamekuwa karibu sana hasa ukizingatia kuwa Kadinda amekuwa manager wa Wema kwa muda mrefu.
Hizi ni picha alizo share Wema siku za nyuma ila hadi leo zimekuwa zina make headline kwenye mtandao wa Instagram.

Friday, July 25, 2014

Picha hizi za Wema Sepetu akiwa na mama yake zime make headline kwenye mtandao wa Istagram

Kila mmoja anapofikia kudeka basi sehemu ya kudeka huwa ni kwa mama zaidi hata kama unampenda baba ni tofauti na kudeka.
Hizi picha ame share actor wa Bongo Movie Wema Sepetu akiwa na mama yake na kusababisha ku make headline kwa comment nyingi nzuri.

Yeye alicho kiandika kwenye moja ya picha hizi nihaya maneno...
With my mumumu.... Da most important person in my life... I love her with every vein in my system.... My everything....'''

Thursday, July 24, 2014

Baada ya kuachilia cover la wimbo wa 'Anaconda', Hivi ndivyo walivyo li-edit na majibu ya Nicki Minaj kuhusiana na utani huo

Cover la wimbo wa Nicki Minaj unaokuja kwa jina la 'Anaconda' ambalo lina make headline sana kwenye mitandao

Jana rapper kutoka kundi la YMCMB 'Young Money Cash Money Billionaire' anaye sifika kwa ku rappu kama katuni Nicki Minaj aliachilia picha ya cover la wimbo wake wa 'Anaconda' ambalo limechukuwa headline sana kwenye mitandao ya kijamii.



Baada ya kuachilia cover hivi ndivyo walivyo edit.


Hii hapa ndiyo picha ambayo wame edit kutoka kwenye cover hilo na haya ndiyo maneno ya Nicki Minaj baada ya kuona cover hilo lilivyo fanywa.
Hiki ndicho alichosema Nicki Minaj
Doing the most. Who did this??? 😩😩😩😩😩😂😂😂😂😂😂 Google my ass. Only time u on the net is when u #GoogleMyAss. Memba that line? What song? 👀😜''

Picha: Angalia starehe zinazofanywa na shujaa wa Ujerumani Mario Gotze akiwa na mpenzi wake

Shujaa wa timu ya taifa ya Ujerumani, Mario Gotze ameonekana kama mtu mwenye kichaa baada ya kuendelea kujivinjari katika kipindi hiki cha mapumziko, kabla ya kurejea Allianze Arena kujiunga na wachezaji wenzake wa FC Bayern Munich. 

Gotze, aliefunga bao la ushindi dhidi ya Argentina wakati wa mchezo wa hatua ya fainali kwenye michuano ya kombe la dunia ameonekana katika hali hiyo akiwa na rafiki yake wa kike, Ann Kathrin Brömmel.

Wawili hao walikutwa wakiogelea kwenye dimbwi la matope katika moja ya fukwe huko nchini Ujerumani, na kisha walijitokeza hadarani wakiwa na mandhari ya kama watu waliorukwa akili, lakini mwisho wa siku imefahamika ilikuwa ni moja ya starehe yao wakiwa mapumzikoni. 

Ann Kathrin, kwa mara ya mwisho alionekana akiwa na Mario Gotze mara baada ya mchezo wa hatua ya fainali wa michuano ya kombe la dunia dhidi ya Argentina, uliochezwa nchini Brazil katika uwanja wa Maracana, akishangilia ushindi wa bao moja kwa sifuri.



Picha: Hili ndilo Cover la single mpya atakayo iachilia Nicki Minaj inayoitwa 'Anaconda'

Nicki Minaj puts her ample cakes on full display on the cover of her new single "Anaconda." The Young Money emcee rocks a pink sports bra, pink G-string and blue Jordans while striking a provocative pose. The song will be available on iTunes July 28th.

Her third studio album entitled "The Pink Print" is due out later this year.

Wednesday, July 23, 2014

Picha: Selena Gomez asherehekea siku yake ya kuzaliwa ufukweni

Muimbaji na muigizaji wa kike, Selena Gomez alisherehekea siku yake ya kuzaliwa  (July 22) akiwa anatimiza umri wa miaka 22. 
Mrembo huyo alichagua ufukweni kama sehemu rasmi ya kusherehekea siku hiyo huku akionekana ndani ya yacht na marafiki zake akiwemo mwanamitindo Cara Delevingne.



Tuesday, July 22, 2014

Kwenye 'On The Run Tour' ya Jay Z na Beyonce, Hizi picha zimependwa zaidi na fans

Ukizingatia taarifa  kuhusu ndoa ya Jay Z na Beyonce kuvunjika baada tu ya ziara yao ya On The Run kukamilika, wasimamizi wa wasanii hawa wanafanya kila jitiada kuweka pamoja mashabiki zao kwa kusambaza picha na maneno mazuri kuhusu wapenzi hawa.
Hizi picha tatu mpaka sasa zimeonekana kupendwa zaidi na mashabiki. 

Hii ndio couple ya mastaa inayoaminika kudumu kwa sasa ukiacha ya Will Smith na Jada Smith.

Picha: Agnes Masogange azidi kumake headline nyingine Instagrm kwa hizi picha

Video queen wa Bongo ambaye kwa sasa inasemekana amehamishia asilimia kubwa ya maisha yake Afrika Kusini 'Bondeni' Agnes Masogange ame share picha hizi nakusababisha ku make headline nyingine kwa umbo lake la uzuri alilo nalo.
Moja ya picha akiwa amendika haya maneno
''Nimejizuia weeee nimeshindwa kuvumilia nimeamua bora niweke tu😃😃 kwani nikipigia sehem moja nyie inawahusu nin lol jus joking I need photographer lol''
 

Sunday, July 20, 2014

Hapa zipo picha 8 zinazo tizamwa sana za Wema Sepetu akiwa na Diamond walizo share Instagram

Wasanii hawa maarufu wa Tanzania 'Wema Sepetu na Nasib Abdul aka Diamond Platnumz' ambao wamechukuwa headline sana  kwenye vyombo vya habari pamoja na mitandao ya kijamii, wamezidi kuonyesha mahusiano yao kuwa ya karubu na undani zaidi kuliko hapo ilipokuwa awali.


Picha hizi ni picha ambazo Wema amezi share weekend hii iliyoisha kwenye account yake ya Instagram na kusababisha kupata comment nyingi kutoka kwa watu wanao wafuatilia.







Picha: Kichanga kilichoopolewa chooni mkoani Tanga, chatimiza mwezi mmoja

Walezi wa kwaya ya Mtakatifu Aloyce Gonzaga Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Francis Mihayo (kushoto) na Sylvester Tyienyi wakiwa na kichanga kilichoopolewa chooni mkoani Tanga ambacho kimetimiza mwezi mmoja sasa.
 


KICHANGA kilichoopolewa kutoka chooni maeneo ya Pongwe mkoani Tanga kimetimiza mwezi mmoja sasa. 


Kichanga hicho kiliopolewa na wasamalia wema na baadaye kupelekwa katika kituo cha Kulelea Watoto Yatima cha Casa Della Diaia (Nyuma ya Furaha) na sasa kimetimiza mwezi mmoja tangu kikabidhiwe katika kituo hicho na hali yake ya kiafya inaendelea vizuri. 

Wanakwaya wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Aloyce Gonzaga, Parokia ya Mtakatifu Yohana Mbatizaji Luhanga Jimbo Kuu la Dar es Salaam walibahatika kutembelea kituo hicho na kutoa msaada wa vyakula na vitu mbalimbali wakiwa katika ziara ya kutembelea parokia tarajiwa ya Mtakatifu Yohana Mbatizaji ya Jimbo Katoliki la Chumbageni mkoani Tanga. 
Kituo hicho kina jumla ya watoto 47, mtoto mkubwa akiwa na  miaka 22 na mdogo ana mwezi mmoja.

 Mlezi wa kwaya ya Kanisa Katoliki la Mtakatifu Aloyce Gonzaga Parokia ya Mtakatifu Yohana Mbatizaji Luhanga Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Francis Mihayo, akiwakabidhi watoto wa kituo cha kulelea Watoto Yatima cha Casa Della Diaia (Nyuma ya Furaha) cha Bombo Tanga, msaada wa vyakula na vitu mbalimbali walipotembelea kituo hicho.

 Francis Mihayo akimkabidhi mlezi wa watoto wa kituo cha Casa Della Dioia  (Nyumba ya Furaha), Sister Consolata cha Bombo Tanga msaada wa vyakula na vitu mbalimbali.

Francis Mihayo akiwa amembeba mmoja wa watoto waishio katika mazingira magumu wa kituo cha Casa Della Dioia (Nyumba ya Furaha) wengine wakiwa  wamemzunguka.

Credit GPL.