Siku 74 baada ya kufunga ndoa na Kanye West huko Florence, Italia Kim Kardashian amefuata taratibu za kisheria na kubadili jina lake rasmi kwa kuweka jina la Kanye West.
Mwanamitindo huyo amefanya mabadiliko hayo na kushare kwenye Instagram Jumanne, July 5. “New passport pic #Mrs.West #NameChange.”
Kim Kardashian amekuwa atumia jina la Kim Kardashian West kwenye Instagram lakini halikuwa jina lake rasmi kisheria, hadi jana alipofanya mabadiliko na kulihamishia kwenye passport yake na kila kitu kinachomtambulisha kisheria.
Wednesday, August 6, 2014
Kim Kardashian abadili jina lake kisheria, aonesha kwenye passport
Labels:
Entertainment,
Life Style