Dumb niggas catch feelings! we just tryna make it over here! Nobody got time for that! ATL turn up!
— Wizkid Ayo Balogun (@wizkidayo) August 6, 2014
Showing posts with label Life Style. Show all posts

Wednesday, August 6, 2014
Wiz Kid amjibu Davido kupitia twitter baada ya Davido kusema hakuna Beef
Beef ya mastar wa Nigeria inaonekana bado haijaisha baada ya Davido kuzungumzia kitu gani kilimkasirisha hadi bifu na Wiz Kid kutokea, Wiz ameingia twitter na kumjibu bila kumtaja jina kama kawaida yao. Tweet hiyo inadhihirisha kwamba Wiz Kid hakupenda jinsi Davido alivyozungumza kuhusu hilo beef.
Labels:
Entertainment,
Life Style
Kim Kardashian abadili jina lake kisheria, aonesha kwenye passport
Siku 74 baada ya kufunga ndoa na Kanye West huko Florence, Italia Kim Kardashian amefuata taratibu za kisheria na kubadili jina lake rasmi kwa kuweka jina la Kanye West.
Mwanamitindo huyo amefanya mabadiliko hayo na kushare kwenye Instagram Jumanne, July 5. “New passport pic #Mrs.West #NameChange.”
Kim Kardashian amekuwa atumia jina la Kim Kardashian West kwenye Instagram lakini halikuwa jina lake rasmi kisheria, hadi jana alipofanya mabadiliko na kulihamishia kwenye passport yake na kila kitu kinachomtambulisha kisheria.

Msanii Diana Elizabeth Michael aka Lulu amewafungua watu vinywa baada ya ku-post hii picha
Haijafahamika kuwa msanii wa Bongo Movie Diana Elizabeth Michael maarufu kwa jina la LULU kama alikuwa akihudhuria mazoezi GYM hadi alipo share leo picha hiyo hapo juu akiwa kaonyesha umbolake lilivyo sasa na kuandika haya maneno...
...Nimeshakuwa mwalimu.....!!!! #kihomehome #fitness #mdogomdogo''Wengi wa fans wake wame comment picha hiyo kwa kumpa pongezi jinsi anavyo tengeneza mwili wake usiwe manyama uzembe nakupoteza mvuto kama baadhi ya wasanii wa muziki na filamu za hapa Bongo.
Labels:
Entertainment,
Life Style
Tuesday, August 5, 2014
Picha: Fans wamshambulia Shilole kwa vazi la nusu utupu aliloingia nalo kwenye ya live interview na Mlimani TV
Habari inayo make headline kwa mwimbaji wa nyimbo za Bongo fleva na mduara nchini Tanzania, Shilole aka 'Shishi bybee /she roll it' ni juu ya yeye kuwania Ubunge mwaka 2015 nchini Tanzania kwenye jimbo la Igunga.
Lakini siku ne zilizo pita mwimbaji huyu alishindwa kutunza heshima yake baada ya kuingia kwenye interview na television ya MLIMANI akiwa kavaa vazi lakumuweka mapaja wazi kwenye kipindi cha moja kwa moja 'live'.

Baada ya kutoka TBC tv taifa! Now nipo mlimani tv live! Na @gboythegHaya ndiyo baadhi ya maneno walio mwambia fans baada ya ku post hiyo picha hapo juu kwenye account yake ya Instagram.
mwendapoleoriginal HAPA HAPANA. UNA MCHUMBA NA WATOTO WANAOKUTIZAMA. HATA UKIJISITIRI BADO MASHABIKI WATAKUPENDA TUU. SIO LAZIMA UKAE UCHI''
glady_baby Uwiii my shilole sijaona hii picha jana ningekupa ya moyon anyway acha nikupe hapa hapa jitambue hasa sehem na sehem ok kuna sehem.za shoo ok kujiachia si mbaya ila isipitiliz pia km kweny inteview mh hapan jarib kujistiri ww mchumba wa mtu isishangae siku ukikataliw ukwel si kwamba wakwe awakupend no tatizo mavaz yamezid jarib kubadilikaa ilo litakusaidia jion nakuja home tutaongea zaid dear ila fanyia kazi hapa mh
Labels:
Entertainment,
Life Style
Huddah Monroe na Vera Sidika waendelea kurushiana matusi, Leo tena wame make headline kwa haya
Warembo wa Kenya waliokuwa marafiki wa karibu, Huddah Monroe na Vera Sidika wameendelea na drama yao ya kurushiana vijembe kwenye mitandao ya kijamii.
Leo Vera amemwamkia Huddah na kuwaeleza followers wake wa Instagram kuwa mwakilishi huyo wa Kenya kwenye shindano la Big Brother hana lolote na hata madai kuwa anamiliki kampuni ya masuala ya nyumba ni uongo mtupu.

“Damn right I got into some gossip. Yes. Bitch always lie about one thing it two!!! FYI; these are bbm messages and chose to keep my friend anonymous and not show dp cz I honestly don’t want to involve,” ameandika Vera.
“Well. She’s the FACE OF CAMPARI Like really??? Campari really? Damn at least lie about being face of summit beer by Keroche breweries a local company that nobody would bother to Google that shit! You own a boutique!?? Enheeee! You forgot to mention you also own a “REAL ESTATE” company that doesn’t have a website neither a physical address coz honestly I’m interested in properties!! They say you look broke cz damn Bitch claims she own all these yet even her hair looks like the perfect spot for chicken to lay eggs! While you were struggling with braids for two years straight to save up for two lace wigs that don finish. Yet still pointing fingers at the Queen of weaves. You just learnt this the other day! Sit yo ass down.
Stop claiming it’s photoshop coz woman I have am the list of names of the people u been running your mouth to and everything in detail. Don’t let me go there. Cz trust me I can. I’m like a f*cking pig. I definitely enjoy getting dirty! Cz this has to stop!!! Don’t f*cking bring my name up; PS;The face of Campari is UMA THURMAN google that shit before you start lying to very intelligent people. You look ESTU’PIDO!!! (insert Spanish accent) Next time they will record your conversation and I will gladly post it here. Since u don’t wanna air your issues out. And let’s see how “photoshopped” that would be! Btw. Today I have decided to give u 1 day of fame!!! Make you little bit relevant coz I know how much u die for attention. There you go!”Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Huddah akajibu:
SO Petty Bitch Vera Getting Shady on Me on INSTAGRAM .. . Seems like Huddah BOSS chick can’t keep this hoe up off me . U too jealous of my Real Estate Biz, Sadly, I’m so business savy and u only a Hoe the only job u Do.. I’m willing for the top Forbes, headed to the top, dot, org… I’ll Personally blow up those two bags of fat on ur Chest.. .. Bitch I get money so I does what I pleases.. Broke Vee so crusty, disgust me… That Bitch talk slick, I’m a have to terminate her That little nappy headed hoe.I introduced you to Business.. You my seed, seems The Weeds Already grown.. il have to Terminate ya ‘ just like You did to the seed in ur Tummy .. Be Blessed ya’ll.”
Labels:
Entertainment,
Life Style
Monday, August 4, 2014
Picha: Christina Aguilera apiga picha akiwa mtupu kuonesha ujauzito wake
Mwimbaji Christina Aguilera meamua kupiga picha akiwa mtupu kwa ajili ya jarida la ‘V Magazine’ la mwezi huu.
Katika picha hizo, mwimbaji huyo mwenye umri wa miaka 33 na mjamzito anaekaribia kujifungua, ameonesha umbo lake akiwa na mwanae tumboni huku akiwa amejifunika sehemu ya kifua chake na mikono.
Inaelezwa kuwa Christina ndiye aliyemuita mpiga picha Brian Bowen Smith kwa lengo la kumpiga picha ili apate kumbukumbu pia kabla ya kujifungua.
Mwimbaji huyo ambaye ni jaji wa shindano la The Voice, tayari ni mama wa mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka sita aliyempata na mumewe wa zamani Jordan Bratman na sasa anatarajia kumpata mtoto wa pili na Matt.

Life Style,
Photos
Sunday, August 3, 2014
Video: Wastara Sajuki 'Nataka kuolewa' maneno hayo akiwa kwenye mahojiano na The Sporah Show
Mahojiano ambayo Wastara Sajuki alifanya pale alipo kutana kwenye The Sporah Show ambapo alisikika akidai kuwa anataka kuolewa tena nakusema ''Marehemu Sajuki Atafurahi Kuona NinaFuraha Tena Baada Ya Yeye Kufariki.''
Tizama video:
Tizama video:
Labels:
Life Style,
Love Zone
Thursday, July 31, 2014
Picha: Alicia Keys Na Swizz Beats Wanategemea Kupata Mtoto Wa Pili
Rapper na Producer Swizz Beatz na Mkewe Alicia Keys wametangaza kuwa wanategemea kupata mtoto wao wapili. Alicia Keys ametumia mtandao wa Instagram kutangaza kuwa baada ya miaka minne ya ndoa yao kudumu wanategemea kupata mtoto wa pili. Keys ameandika hivi
Swizz nae alitumia mtandao wa instagram kuweka picha akimbusu Alicia Keys na kuandika ujumbe huu
Happy Anniversary to the love of my life @therealswizzz !! And to make it even sweeter we've been blessed with another angel on the way!! 🎊🎉🎊🎉 You make me happier than I have ever known! Here's to many many more years of the best parts of life! 😍☺️😘''
Love is life & life is love and we're so excited for another GIFT from up above 👼 Happy Anniversary my Goddess 🙌 4 years of greatness & cheers to 100 plus more inshallah 🙏 @aliciakeys ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️''
Labels:
Entertainment,
Life Style,
Love Zone
Diva kwa GK: You are the most romantic, the most perfect husband taken by me!!
Advantage kubwa mwanaume anaweza kupata akidate na Loveness Diva ni shout outs za kutosha mbele ya followers wake kwenye mitandao ya kijamii.
Ukimtoa Mo Rocka, huenda GK akawa boyfriend wa mtangazaji huyo wa Clouds FM aliyewahi kumwagiwa jumbe za mahaba kuwazidi hata Prezzo na Mr Anonymous aka mwanasiasa! Katika muendelezo wake wa kuutangazaji ulimwengu jinsi anavyojisikia kuwa ‘first lady’ wa mkuu huyo wa ECT, Diva ameshare picha yake Instagram na kuandika:
“Umependeza Mwaya My love…..everyday in my life is Perfect because it starts and ends with hugs and kisses to the man i love more than anything else. My main…my main man. Just love you…just the way ulivyo. Holding your hands cuddling in your arms….Precious moments…hours, days;months and finally A year….love you babe..forever eternally. Yo the most romantic …yo the most Perfect husband taken by me..i love you baby and kazi Njema Inshaallah Mshahara wako unipe nikuwekee…..hehee. Yo The most Perfect Man i could ever have had …i love you My Gk emojiemojiemojiemoji.”

Wednesday, July 30, 2014
Fahamu alichoamua Kingwendu baada ya mkewe kubakwa akiwa amelewa
Muigizaji wa filamu za Kiswahili, mchekeshaji Kingwendu yuko katika wakati mgumu baad aya mkewe kubakwa na jirani yake wakati akiwa amelewa pombe.
Muigizaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa alizipata habari hizo wakati ambapo yuko safarini na majirani walimueleza kilichotokea kuwa mkewe na jirani huyo aliyembaka mida ya saa tano usiku wote walikuwa wamelewa.
"Kama ulivyosikia hiyo habari, mimi nilikuwa sipo ndo nimerudi jana, nataka nianze kufuatilia sheria sema sasa hivi nimefiwa na dada yangu tunapeleka msiba kijijini na baada ya hapo ninapumzika kesho tu halafu ninasafiri Nairobi, nikirudi Nairobi tarehe tano kuanzia tarehe sita ndo naanza kufuatilia.” Amesema Kingwendu.
Mchekeshajihuyo ameumizwa na kitendo hicho na ameamua kufuata taratibu za kisheria ili haki itendeke.
“Kutokana na kitendo alichokifanya na mimi nimejisikia vibaya, inanibidi nimtafute huyu bwana nimpate ili nimpeleke mahakamani, mke wangu bado niko naye, sema huyu jamaa aliyefanya unyamaa huu yupo jirani. Mke wangu alikuwa amelewa na jamaa naye alikuwa amelewa. Mke wangu sijui alikuwa anatoka wapi saa tano usiku ndo akakutana na huyo jamaa, majirani ndio walivyoniambia hivyo, walinipigia simu wakati nipo Shinyanga huko.”
Source: Bongo5

Friday, July 25, 2014
Jokate azungumzia filamu, muziki, biashara, Alikiba vs Diamond, Wema na mapenzi, msikilize hapa
Jokate Mwegelo yupo jijini Nairobi, Kenya ambapo hata hivyo hajaweka wazi ameenda kufanya nini lakini aliweza kukutana na Mzazi Willy M Tuva kwenye show ya redio inayosikilizwa zaidi nchini humo, ‘Mambo Mseto’ ya kituo cha Radio Citizen kuzungumzia masuala mbalimbali kuanzia filamu, muziki, biashara, ushindani kati ya Alikiba na Diamond na uhusiano.
Tuko poa kwasababu tuko wote kwenye industry moja hatuwezi kuwa na beef, it will be crazy. Yeye beef yake inabidi awe na Alikiba man (anacheka).
Sikiliza interview nzima hapa.
Credit Bongo5.
Kuhusu nyimbo mpya za Alikiba
Nimesikiliza ni nzuri, zipo tofauti, they are actually very Alikiba so I am proud of him. Pengine anataka kubadilisha muonekano wake kwasababu nikisikiliza zile nyimbo nampata Alikiba which is a good thing kwasababu kama artist lazima uwe na ile signature yako kwahiyo I still get that from him. But I think right now because ana management mpya anataka kujibrand, take it to the next level sasa hivi kwasababu kuna watu kama akina Diamond they are doing great stuff so it’s a great thing for him.Kuhusu ushindani uliopo sasa kati ya Diamond na Alikiba
Watu wanataka kuwashindanisha lakini kwasababu it comes with the nature of the business huyu anataka kufanya vizuri, huyu anataka kuwa on top kwahiyo mashabiki nao lazima waseme ‘muziki huu mzuri, ahh yule mzuri zaidi’ kwahiyo ni kitu cha kutegemewa. Lakini mimi nahisi kila mtu kutokana na muziki wake anaofanya, kutokana na personalities zao ambazo ni tofauti, personality ya Diamond sio personality ya Alikiba so they each have their own selling point kwahiyo sidhani kama kuna shida sana hapo.Kuhusu ushauri anaompa Alikiba
I just wish Alikiba achangamke kidogo, huo ndio ujumbe wangu kwake, awe more aggressive. Unajua sasa hivi artist walivyo, they are very up front like they are always on your face, he should be like that.Kuhusu uhusiano wake na Diamond kwa sasa
Tuko poa kwasababu tuko wote kwenye industry moja hatuwezi kuwa na beef, it will be crazy. Yeye beef yake inabidi awe na Alikiba man (anacheka).
Kuhusu nani mkali kati ya Alikiba na Diamond
Alikiba ana fan base kubwa Tanzania wanampenda and Diamond is a hustler he does well so it’s a tie. Kila mmoja ana nafasi yake, kila mmoja anafanya muziki mzuri.Kuhusu kama bado ana ugomvi na Wema Sepetu
Obvious kama female mkicross paths inakuwa vile lakini we are cool, she is a great girl and it’s all love.Kuhusu kama ana uhusiano na mtu mwingine tayari
Nina prospects wengi.Sikiliza interview nzima hapa.
Credit Bongo5.
Labels:
Entertainment,
Gossip,
Life Style,
Love Zone
Kanye West afunga camera kibao kwenye nyumba anayoishi ili kumuona mwanae North hata akiwa ziarani
Kanye West amefunga idadi kubwa ya camera kwenye nyumba yake ili kumchunga na kumuona binti yake, North popote pale duniani.
Rapper huyo mwenye miaka 37 amedaiwa kumkera mke wake Kim Kardashian kwa kufunga camera hizo kwenye kila chumba ndani ya nyumba yao ya Los Angeles hadi kwenye bafu ili kuhakikisha anamuona North muda wote.
Chanzo kimoja kimesema: Kanye anamchunga sana North na anataka kuhakikisha anamuona wakati akiwa mbali ziarani. Hivyo ameongea na kampuni ya LA iitwayo VIA international kuinstall ‘high-tech cameras’ katika nyumba yake nzima. Kisha ataweza kuwa na link ya moja kwa moja ya nyumba yake na kumuangalia North kwa chochote atakachokuwa anakifanya akiwa popote duniani. Kanye ana utaratibu wake kichwani wa jinsi anavyotaka mwanae alelewe na anataka kuona kuwa utaratibu huo unafuatwa.”
Chanzo hicho kilichoongea na gazeti la Daily Star kiliongeza: Lakini Kim hajafurahishwa na mpango huo. Anachukia wazo la kuangaliwa muda wote. Alimuambia Kanye kuwa anahisi haamini uwezo wake (Kim) wa kulea.”
Hata hivyo chanzo hicho kimedai kuwa Kanye hana wasiwasi na ulezi wa mke wake kwa North bali mara nyingi hummiss mwanae. Rapper huyo anadaiwa kutaka North awe na ratiba ya kucheza na midoli ya kumfundisha, kufanya yoga ya watoto na kuogelea kila siku.
“Alimuambia Kim kuhakikisha kuwa mtoto wao anacheza na watoto wengine walau mara nne kwa wiki.”

Thursday, July 24, 2014
Jokate asaka mwanaume wa kumuoa, ataja vigezo pia
Katika kuonyesha amechoshwa na upweke, mwanamitindo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ ameibuka na kusema kuwa sasa anasaka mwanaume wa kumuoa huku akitaja vigezo vya anayestahili kumuita mume.
Akizungumzia maisha yake ya kimapenzi, Jokate alisema kuwa hana ‘mtu’ ila atakapotokea mwenye vigezo anavyotaka, hatakuwa na sababu ya kumkataa. “Kwa sasa sina mpenzi wala mchumba, akitokea sina kipingamizi ila mbali na vigezo vingine awe na mapenzi ya dhati na mimi,” alisema Jokate.
Jokate amekuwa msiri sana katika maisha yake ya kimapenzi kiasi cha wengi kuamini ni msichana anayejiheshimu sana ila aliwahi kuwa na uhusiano na mchezaji wa mpira wa kikapu, Hasheem Thabeet anayekipiga kwenye Timu ya Oklahoma City Thunder ya nchini Marekani.

Wednesday, July 23, 2014
Kupitia Sporah Show haya ndiyo aliyo zungumzia Ali kiba kuhusu chanzo cha beef kati yake na Diamond Platnumz
Miongoni mwa vitu vilivyokuwa vikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa bongo fleva wiki hii ni pamoja na kusikia kauli ya Ali kiba kuhusu chanzo cha beef kati yake na msanii mwenzake Diamond Platnumz.
Kupitia kipindi cha Sporah kilichoruka July 22 Clouds TV, Alikiba amefunguka mambo mengi ikiwemo jinsi walivyofahamiana kwa mara ya kwanza, chanzo cha beef yao na wakoje hivi sasa. Kabla hujafahamu undani wa alichokizungumza, hizi ni facts chache alizozitoa Alikiba katika Interview hiyo.
1.Alikiba ndiye alimpa ruhusa Bob Junior amrekodie Diamond nyimbo zilizomtoa kama ‘Kamwambie’ katika studio yao ya Sharobaro!
2.Alikiba alishirikishwa katika wimbo wa Diamond ‘Lala Salama’!
3. Alikiba ni shabiki wa nyimbo za Diamond hadi sasa!
4. Diamond aliomba ashirikishwe katika hit ya Alikiba ‘Single Boy’!
5. Alikiba ana watoto watatu, lakini hana uhusiano tena na mama zao
Asilimia kubwa ya kipindi ilihusu uhusiano wa Alikiba na Diamond, na hii ni sehemu ya maelezo ya Kiba. Alikiba aliizungumzia sababu iliyozaa beef kati yake na Diamond, swali la Sporah lilikuwa kama Alikiba ana namba ya simu ya Diamond:
“Nilikuwa nayo kipindi Fulani, nilipohisi amenikosea nikaona sina ulazima…kuna kipindi alinikosea kwasababu nilisikia amesema kwamba tulirekodi wote ile nyimbo ya ‘Single Boy’, na si kweli. Halafu anasema mimi ndio nilimfuta… kwa kunikosea kwa Diamond nilihakikisha kutokana na mimi mwenyewe ndo nilifanya nyimbo yake ‘Lala Salama’ iko kwenye album yake, akanifuta nikahisi amenikosea sana nilichoimba mimi akawa ameimba yeye, alichonituma nifanye nimefanya kwa mapenzi yote, na mimi namsupport kila msanii wa Tanzania anayefanya vizuri anayeimba vizuri, sikatai anaimba vizuri sijui ukisema ame copy am proud, mi sijamaind wala nini lakini usiseme kwa watu ukadanganya ukaonekana mi sifai, siko hivyo mimi.” Aliendelea,
“Watu wengine ambao hawaelewi vizuri wanaweza wakamwamini Diamond, kila mtu ana mapenzi yake labda kuna wengine wanampenda Diamond wengine wanampenda Alikiba. wanaweza wakawa wengine wanampenda Diamond wakaamini mimi nimemfuta Diamond kwenye nyimbo ya ‘Single boy’ lakini mimi wala, shahidi producer Manecky ndo alitengeneza ile nyimbo. Sikuwahi kwenda na Diamond kwenye studio na sikuwahi kufikiria kufanya nyimbo nae.
Ila alinipigia simu baada ya ile nyimbo kuleak, imevuja Single boy, tayari nimeshafanya na Jaydee, akaisikia kwenye simu Ali kuna nyimbo nimeisikia unaonaje ile tukifanya ile itakuwa safi sana afu akanipa mpaka idea ya video na nini, nikamwambia sawa inawezekana lakini mimi nadhani itapendeza zaidi tukifanya nyimbo nyingine mimi na wewe,kwasababu hii tukifanya mimi na wewe haita make sense inapendeza ikiwa single boy single girl, hicho ndo kitu nilimjibu.
Akaniambia poa lakini we fikiria hiyo, nikamwambia okay lakini hata kama nikifikiria mi sioni jibu hapo, jibu ni hilo hilo. Hicho ndo kitu ambacho nilimjibu Diamond. Baada ya kama wiki moja nikaja kusikia kwenye mablog, mpaka nikapigiwa simu kwamba mimi nimemfuta kwenye ile nyimbo wakati yeye ndio aliyenifuta katika nyimbo yake, shahidi producer wangu mimi KGT anaitwa ambaye nimetoka naye muda mrefu sana..nyimbo zangu zote alikuwa akiproduce yeye”.
Kuhusu nani aliyemuita mwenzake kwaajili ya wimbo ambao Alikiba anadai Diamond alimfuta (Lala Salama)
“Hakuna aliyemuita mwenzake, ila mimi pale studio ambayo alikwenda kurekodi Diamond ni studio ya kwangu mimi ambayo ilikuwa imenitoa pale G-Records na watu wote wanajua nimetokea pale. ..Nakwenda kutembea kama nyumbani , kuwatembelea studio kumtembelea producer wangu, nikamkuta Diamond nae studio anarecord. Kuingia pale ndani ya studio nikakuta amesha record kabisa…akaniambia hebu sikiliza hii, nikasikiliza nikamwambia umeimba vizuri sana…nikajaribu kumwambia ungeimba hivi na hivi na hivi ingekuwa vizuri sana ila niliheshimu mamuzi yake kwasababu kila mtu na style yake, nikawa nataka kuondoka akaniita, akaniambia nakuomba uingize zile sauti zako za juu, kila mtu anajua ukisema hivyo, kuna sauti zangu flani hizo silaha zangu naweza kusema wengi wanapenda.
Nikamwambia nikiingiza vile nitaharibu mi nahisi umeimba vizuri sana, akaniambia imba bwana, atleast chochote kile, ndio nikaimba sasa mimi pale baada ya kufanyaje, nimeona aibu kumkatalia mbele ya producer wangu. Ni Kwa mapenzi yote nilifanya, nikamfanyia vizuri, kweli nilikwenda na feeling nzuri sana kwasababu nyimbo ilikuwa ndio style yangu vile vile.
Lakini sasa, kwasababu hata producer wangu hakuniambia nikaja kuisikia nyimbo imetoka ameingiza yeye vile nilivyokuwa nikiimba mimi yaani njia nilizokuwa nimepita akaingiza yeye, kwahiyo nikahisi kama amenifanya mtoto wakati mimi ni mkubwa wake na anajua hilo”.
Baada ya Alikiba kugundua hilo alichukua hatua gani za kumuuliza Diamond au producer?
“Niligundua kabisa producer wangu kunipigia simu mimi ilikuwa sio sawa kwasababu ile nyimbo sio yake halafu nilimpa tu uhuru wa kufanya kazi na kila msanii na nilijisikia vizuri Diamond amekuja mpaka pale studio kwetu kufanya kazi .. Mi nilichukua simu yangu nikampigia Diamond, alichonijibu akasema yeye mwenyewe hajui , basi mi nikaachana na haya mambo, from then nikaona hamna tatizo lakini kwa kujua yeye alinifuta katika nyimbo yake”.
Alikiba na Diamond walivyofahamiana:
“Unajua mimi Diamond nimemjua muda mrefu sana, mimi ndio nimemrelease pale akafanya nyimbo Sharobaro wakati mimi niko kwenye tour America, nilikuwa pale kama president, vice wangu alikuwa Bob Junior ambaye ndio producer pale, akanipigia simu kwasababu hakuwa na maamuzi ya kumruhusu arekodi, bana kuna msanii anaitwa Diamond anaimba vizuri tu, nikamwambia kama anaimba vizuri mrekodie”.
Alikaba amekiri kuwa ni shabiki wa nyimbo za Diamond lakini si shabiki wake:
“Mimi sijutii, vile vile am happy kwa yeye kufanikiwa kufanya kazi nzuri, amerepresent nchi yetu anajitahidi kwasababu honestly naweza kusema ukweli mimi pia sometimes nakuwa shabiki wa music..mimi sio shabiki wa Diamond. Unapoongelea shabiki unaweza kushabikia nyimbo basi, kuna nyimbo ambazo amenifurahisha Diamond ameimba nikasema yes amefanya vizuri, lakini sio kwamba namshabikia yeye, mi napenda music, sikufichi mi naskiliza music ya kila msanii anayeimba vizuri, siwakubali wasanii napenda kazi zao”.
Kuhusu alivyojipanga kurudi kwenye game na kukabiliana na Diamond ambaye kwa sasa ndie msanii aliye juu zaidi:
“Kizuri kikikosekana kibaya pia kinaonekana kizuri…!!”
Sporah alimuuliza kuwa haoni kwa kipindi alichokaa kimya Diamond ndio kama amechukua nafasi yake kwenye muziki:
“Hakuna mtu aliyechukua nafasi yangu, labda kama ni kiti ambacho nilikuwa nimekaa kinavumbi na nachotakiwa ni kukipangusa tu na kukaa tena, lakini labda yeye yuko siti nyingine ila the back seat. Formula tofauti najua sasa hivi wanahitaji nini sababu muda ambao nimepumzika nilikuwa kama mshabiki wa muziki…lakini sikuweza kupata muziki ule kama tulikuwa tukisikia zamani Latifah…Violet ambao ule kama wimbo wa taifa. Na nimeona wanamiss kwasababu mafans wangu kwa upendo wao kwakweli nawashukuru sana kwa mapenzi ambayo wamenionesha uvumilivu na kunikumbusha Ali njoo we need you…and kwa respect ambayo nimewapa nawaambia Alikiba himself anakuja tena very soon, now new material, new look, na next level kila kitu”.
Ujumbe wa Alikiba kwa mashabiki wake:
“Asabteni tena na tena (mashabiki) malalamiko yenu nimepata sana, samahani najua nimewa letdown, kama mlivyoona wengine wamepata chance ya kushine na wakatuwakilisha kwasbabu tu Alikiba aliwaachia nafasi hiyo…narudi tena very soon so get ready for this na mnipokee vizuri.”

Picha: Mashabiki wamshambulia Vera Sidika kwa hii picha yake mpya inayo muonyesha matiti
So last evening hugely controversial video vixen, Vera Sidika, made her way back to the 254. And as always, she came back “bearing gifts” for her fans. She had a new makeover! No not new hairstyle! Something else!
If you haven’t already heard, Vera just joined the list of celebs who have admitted to having had breast augmentation because, you know, sometimes nature doesn't always bless us with the assets we want - and if you're constantly in the limelight, there's nothing to stop you from some “chest investment”.
Last evening she raised some eyebrows when it came to her cup size. From blossoming bosoms and now the surprise bust-boosting, this led to silicone whispers. Here are some reactions by Kenyans;
Hizi ni baadhi ya twitter kuhusiana na picha hiyo...

Why Vera Sidika has become famous so quickly. pic.twitter.com/Sxil5Z8uaa
— kisauti ® (@kevoice_) July 22, 2014
Hahaha ! Ati » The only thing left for Vera Sidika is to go to CHINA and come back with a VACHINA ! Haki ya Nani SMH !
— Mr. Mstephano (@AmMstephano) July 23, 2014
BREAKING: VERA SIDIKA in real life ==> pic.twitter.com/DR1wKV4T0v
— I aM RicHarD °_° (@Ulopa_) July 23, 2014
Labels:
Entertainment,
Life Style
Tuesday, July 22, 2014
Je sabuni inaweza kurejesha ubikira? Haya ndiyo matokeao ya sabuni hiyo
Baadhi ya wanawake na wasichana huko nchini Kenya wanatumia sabuni inayodaiwa kurejesha usichana yaani 'ubikra'. Sabuni hizo zinadaiwa kukaza misuli ya sehemu za uke na hivyo kuimarisha raha wakati wa kushiriki tendo la ngono na mwanaume.
Baadhi ya wasichana waliohojiwa na BBC mjini Nairobi wamekiri kutumia sababu hiyo na kusema kuwa imeweza kubana misuli ya uke na kurejesha hali ya ubikira.
Hata hivyo mtaalam wa magonjwa ya wanawake kutoka nchini Tanzania anasema kutumia sabuni pamoja na kemikali nyingine kwenye uke ni hatari.
Mtaalam huyo amewashauri wanawake kuacha kutumia kemikali kwani pia inaweza kuwaletea magonjwa mengine kama vile saratani.

Health,
Life Style
Tiba ya Methadone kwa hisani ya Ray C yamuokoa Video Queen wa Ice Cream, Doreen
Ray C Foundation wameanza kuyaona matunda ya kazi yao ya kuwasaidia watu walioathirika na matumizi ya dawa za kulevya baada ya kumtibu video Queen wa Ice Cream ya Noorah, Doreen kwa kutumia Methadone.
Ray C amepost instagram picha ya Doreen akionena kuwa na afya nzuri tofauti na awali walipomchukua, na kuandika ujumbe kuhusu hali ilivyo.
“Video queen aliecheza kwenye video ya Noorah Ice cream Amerudi katika Hali yake ya kawaida baada ya kuanza Tiba ya Methadone......Nafurahi sana nikiona matunda ya Ray C Foundation..............Keep it up girl!!!Nafurahi kukuona ukiwa na afya njema!!!!!!!Say No to Drugs!”

Doreen akiwa na Ray C kabla ya kupata matibabu ya Methadone
“Video queen aliecheza kwenye video ya Noorah Ice cream Amerudi katika Hali yake ya kawaida baada ya kuanza Tiba ya Methadone......Nafurahi sana nikiona matunda ya Ray C Foundation..............Keep it up girl!!!Nafurahi kukuona ukiwa na afya njema!!!!!!!Say No to Drugs!”
Labels:
Health,
Life Style
Monday, July 21, 2014
Kanye na Kim K watumia zaidi ya milioni 830 kukodi mtoto anaefanana na North West
Familia ya Kanye West na Kim Kardashian imeripotiwa kutumia $500,000 (zaidi ya milioni 830 za Tanzania) kumkodi mtoto mwenye mwili unafanana na mtoto wao North West (body double) kwa lengo la kuwakwepa wapiga picha.
Kwa mujibu wa jarida la Grazia la Uingereza, wanandoa hao wamewafanyia usaili watoto kadhaa huko Los Angeles na wameweza kumpata mtoto mmoja anaefanana na North West.
“There were auditions held in LA at a specialist agency and in the end they found a child who is the spitting image of their daughter.” Chanzo kililiambia jarida la Grazia.
Imeelezwa kuwa wamepanga kumpata mtu anaefanana mwili na mlezi wa mtoto huyo pia ili waweze kumlinda mtoto wao mwenye umri wa miezi 13 dhidi ya lens za kamera za Paparazzi.

Maimartha Jesse ‘Mai’ aamuwa kumsuta mvulana kwa keki yenye maneno yasemayo 'Sajo acha umbea ndoa tamu'
Dume lililofahamika kwa jina moja la Lusajo au Sajo anayefanya kazi maeneo ya Kijitonyama, Dar jirani na duka la mtangazaji Maimartha Jesse ‘Mai’ amejikuta akitaharuki na kuaibika baada ya kusutwa laivu katikati ya wanawake huku akilishwa keki na kufunguliwa mvinyo kisa umbeya.
Kwa mujibu wa mashuhuda waliokuwa eneo la tukio wikiendi iliyopita kabla ya gazeti hili kutua, Maimartha alidaiwa kusuka ishu hiyo huku akiwakaribisha marafiki zake kushuhudia akiwemo Flora Mvungi.
Ilisemekana kwamba Mai alidai kuwa kilio chake kwa muda mrefu ni kwamba jamaa huyo amekuwa akimfuatafuata na kumwambia mumewe, Raymond Shayo ‘Shaa’ kila jambo analolifanya dukani hapo, ikiwa ni pamoja na kumweleza watu wa kila aina wanaoingia ndani hapo.
“Nilishapata taarifa za Sajo kuwa huwa ananichunguza, sikutaka kuwa na haraka nikaenda naye taratibu bila kumwambia kwani nilikuwa nikimtafutia dawa ya kumkomesha. Leo ndiyo arobaini yake imefika.
“Nilishika simu ya mume wangu nikakuta SMS za Sajo zikimuomba fedha, ukweli nilichukia sana na nilishangaa kuona kumbe kazi anayoifanya ya kunichunguza analipwa, nikaona sasa ndiyo wakati wa kumkomesha kwani kwa kulipwa kwake ipo siku atatunga hata uongo kwa sababu fedha ni shetani,” alisema.
Keki ya msuto aliyoandaliwa Bw. Sajo.
Sajo, kabla ya kujua kinachoendelea, alikaribishwa keki na shampeini, akaenda kichwakichwa, alipomaliza kulishwa akaambiwa asome maneno yaliyoandikwa kwenye keki ‘Sajo acha umbeya ndoa tamu’ ndipo akachanganyikiwa na moja kwa moja msuto ukaanza huku akiulizwa ni kwa nini anamwambia maneno mume wa Mai.
“Mh! Mimi mbona siyo kweli jamani,” alisema Sajo na kushindwa kumalizia maneno. Alipobanwa na wanahabari wetu na Gea Habibu (wa Leo Tena ya Clouds FM) juu ya kuwa na namba ya simu ya mume wa Mai, Sajo alishikwa na kigugumizi na kuondoka ambapo alikimbilia dukani kwake na kujifungia kukwepa aibu kwani siyo tukio la kawaida kwa mwanaume kusutwa kwa umbeya.
Credit GPL
Mwanaume aliyesutwa akilishwa keki na Maimartha.

Sunday, July 20, 2014
Hapa zipo picha 8 zinazo tizamwa sana za Wema Sepetu akiwa na Diamond walizo share Instagram
Wasanii hawa maarufu wa Tanzania 'Wema Sepetu na Nasib Abdul aka Diamond Platnumz' ambao wamechukuwa headline sana kwenye vyombo vya habari pamoja na mitandao ya kijamii, wamezidi kuonyesha mahusiano yao kuwa ya karubu na undani zaidi kuliko hapo ilipokuwa awali.
Picha hizi ni picha ambazo Wema amezi share weekend hii iliyoisha kwenye account yake ya Instagram na kusababisha kupata comment nyingi kutoka kwa watu wanao wafuatilia.
Picha hizi ni picha ambazo Wema amezi share weekend hii iliyoisha kwenye account yake ya Instagram na kusababisha kupata comment nyingi kutoka kwa watu wanao wafuatilia.
Labels:
Entertainment,
Life Style,
Love Zone,
Photos
Subscribe to:
Posts (Atom)