Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

‹
›

Shooting

Racing

News

Bottom

Showing posts with label Video. Show all posts
Showing posts with label Video. Show all posts

Wednesday, August 6, 2014

Video: Msichana anayedaiwa mchepuko wa Jay Z atoa ngoma akimchana Beyonce ‘Sorry Mrs. Carter’

Inaonekana familia ya Mr and Mrs Carter haiwezi kukaa siku moja ikatulia bila kupata msukosuko. Tangu ugomvi wa kwenye lifti kati ya Jay Z na Solange, familia hiyo imeendelea kutawala vichwa vya habari kwa taarifa za mpasuko katika ndoa yao.

Na sasa rapper aitwaye Liv, ambaye amekuwa akidaiwa na mitandao ya udaku kuwa mchepuko wa Jay Z ameachia video ya akichana kwenye beat ya wimbo wa zamani wa kundi la Outcast ‘Mrs Jackson’ kurekodi wimbo wake alioupa jina ‘Sorry Mrs. Carter’ na kumchana vibaya Beyonce japo anadai hajawahi kuwa na uhusiano na rapper huyo.
Hata hivyo Liv anadai kuwa ni Jay ndiye anamtaka hadi sasa akiwa tayari amemuona Beyonce.

Video: Davido aelezea beef yake na Wizkid, ‘tuko poa lakini asiongee tena upuuzi juu yangu’

Hatimaye muimbaji wa Nigeria, Davido ameelezea beef inayoendelea kati yake na Wizkid na kudai kuwa hana tatizo naye lakini hakupenda vijembe alivyorushiwa na hitmaker huyo wa ‘Holla At Your Boy’.

Kitu pekee kilichoniudhi ni kuhusu concert ya AY na tena nilikuwa nitweet kama ‘kila mmoja hakikisha ameenda kwenye show ya kaka yangu Wizkid’ na akanitupia vijembe kama hivyo. Siwezi kuvumilia hilo ndio maana niliamua kusema kama nilivyosema,” Davido aliiambia SaharaTV.  
Lakini yote poa tu mwisho wa siku inabidi kuendelea na muziki, shout outs kwake, bado mimi ni shabiki wake mkubwa, anafanya mambo yake. Hakukuwa na kitu lakini usinitupie vijembe, usifanye hivyo hasa kama ulipanda nami kwenye ndege moja,” aliongeza Davido akimaanisha kuwa siku hiyo hiyo walitoka kusafiri na ndege moja.

New Video: Mumala ft Octopizzo – Paper Chasing

New Video: Mumala ft Octopizzo – Paper Chasing


Monday, August 4, 2014

New Video: Rick Ross ft French Montana – What A Shame

New Video: Rick Ross ft French Montana – What A Shame


Video: Jamaa ajiua kwa pisto wakati akijipiga picha yakuweka Instagram akiwa kaishika

Oscar Otero Aguilar, 21, of Mexico City, died after accidentally shooting himself in the head
Alcohol, a camera phone and a loaded gun proved to be a fatal combination for 21-year old Oscar Otero Aguilar.

The Mexico City man had been drinking last week when he borrowed the gun. He reportedly waved it around while trying to take a photo of himself with it. The gun discharged and Aguilar suffered a fatal wound to the head.

"I heard a gunshot, and then I heard somebody screaming and realized somebody had been hurt. I called the police and when they arrived they found that he was still alive," told Bakersfield, California, ABC affiliate KERO.


Video: Mkali wa nyimbo za Hip Hop nchini 'Fid Q' aamuwa kuingia studio na ku record ngoma ya Rn'B

Vyombo vya habari na mitandao ya kijamii vililiweka jina la msanii Fid Q kwenye headline kubwa baada ya kuchukuwa tuzo ya msanii bora wa hip hop wakati wa utolewaji wa tuzo za KILI mwakahuu.

Lakini hivi sasa inaonyesha msanii huyu yupo mbioni kuachilia ngoma yake ambayo ameimba kwa mfumo wa Rn'B kitu ambacho kinamchukuwa muda mwingi na kumpa wakati mgumu kuweza kuendana na flow ya Rn'B.

Kwaupande wake Ngosha 'Fid Q' haja liongelea hilo swala, japokuwa producer Kerry Kerwin ambaye anashughulikia ngoma hiyo ndiye aliye onekana ku post video kwenye instagram.

Tizama video.


Video Snippet: Nicki Minaj aonjesha kipande cha video ya wimbo wake mpya ‘Anaconda’, tizama hapa

Nicki Minaj ameachia rasmi single yake mpya ‘Anaconda’ leo (August 4) kwenye Itunes, bada ya kuvuja mtandaoni weekend iliyopita. Kupitia Instagram Minaj (31) pia ameshare kipande kidogo cha video ya wimbo huo ambayo imefanyika Jumamosi iliyopita huko Los Angeles, Marekani.

Check out the WORLD PREMIERE video snippet of Anaconda. Now on iTunes!!! #AnacondaOniTunes Official Mastered VERSION” ameandika katika post hiyo.
Itizame hapa


Sunday, August 3, 2014

Video: Lord Jamar anaamini cover la wimbo wa 'Anaconda' wake Nicki Minaj nila 'ngono' na sio Hip Hop

Like most men who have seen the cover for Nicki Minaj's single "Anaconda," Lord Jamar thought it was hot, but he doesn't get the message she's trying to send. He believes the cover is more porn than hip hop.
"The suggestiveness, Anaconda. What are you trying to say? You like big d*cks? What's the subliminal message that you're sending? Anaconda, my a$$ is out. Are you saying you want an anaconda up your a$$ or in your p*ssy? I'm not saying that there's not a place for that somewhere. It's just when that's all you see, that's when it's f*cked up," Jamar said.
What do you think of Jamar's comments?


Rick Ross – Supreme (Music Video)

Rick Ross – Supreme (Music Video)


Video: Kutana na mzee huyu anayefuga Mamba nyumbani kwake

Kutana na mzee huyu anayefuga Mamba nyumbani kwake katika mtaa wa Gatumba mjini Bujumbura Burundi.
Nini hasa kilichompelekea kuanz kufuga wanyama hawa hatari nyumbani kwake?


New Video: Dayna Nyange - I do

New Video: Dayna Nyange - I do


New Video: Juma Nature - Komaa

New Video: Juma Nature - Komaa


Thursday, July 31, 2014

Video: Gari hili linaweza kutumika miaka 100 bila kuongezwa mafuta

Moja kati ya mambo ambayo mtu wa anayafikiria kabla hajanunua gari ni kiasi cha mafuta kinachotumiwa na gari hilo. Lakini ukiwa na gari hili… unaweza usifikirie kabisa kuhusu mafuta huku ukilitumia kama kawaida kwa zaidi ya miaka 100.

Wataalam wa masuala ya magari wameeleza kuwa endapo gari linalotumia ‘Thorium’ litaanza kufanya kazi litakuwa gari ambalo linaweza kutumika kwa zaidi ya miaka 100 bila kuongezwa mafuta.

Kwa maana hiyo Thorium itakuwa na uwezo wa kudumu hata zaidi ya maisha ya mtumiaji wa gari hilo.

Kampuni ya Laser Power tayari imeshatengeneza idea ya kutumia Thorium katika engine za magari  ambapo wataitumia kitaalam kuchemsha maji na kuwa chanzo cha nguvu ya kuendesha gari.

Hata hivyo, CEO wa Laser Power System, Dr. Charles Sevens aliiambia Mashable kuwa engine za Thorium hazitaweza kuwa kwenye magari hivi karibu kwa kuwa watengenezaji wa magari hawataki kuzinunua.

Cars are not our primary interest. The automakers don’t want to buy them.” Alisema Dr Charles Stevens.

Alisema makampuni mengi ya magari yanataka kutengeneza pesa zaidi kwa kutumia engines za gas na kwamba itawachukua miongo kadhaa kukubali na kuanza kutmia teknolojia ya Thorium.

Endapo gari hili litafanikiwa kuingia sokoni na kununuliwa na watu wengi miaka ijayo, itakuwa hatari kwa biashara ya mafuta hasa kwa wale wanaotegemea magari pekee kufanya mauzo.

Video: Jokate Mwegelo akionyesha anavyojuwa kucheza kwenye interview na Kiss Tv Nairobi Kenya

Hivi ndivyo Jokate Mwegelo akionyesha anavyojuwa kucheza kwenye interview na Kiss Tv Nairobi  Kenya.
Tizama haoa.

Video: Mapokezi ya Diamond Platnumz July 30 Dar es salaam

Ni mamia ya wakazi na mashabiki wa muziki wa kizazi kipya walioamua kwenda kumpokea Diamond Platnumz baada ya safari yake ya kutoka Marekani ambayo imekua njema kwa Tanzania baada ya kurudi na tuzo.

Mapokezi yalianzia  uwanja wa Julius Nyerere International Airpot kisha msafara ukaelekea mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es salaam ukipitia Buguruni,Kariakoo na baadae kumalizia nyumbani kwake Sinza.

Wakati akiwa kwenye gari ya wazi Diamond Platnumz muda wote alikua kaishikilia tuzo yake aliyoipata Marekani kwenye tuzo za AFRIMMA ambapo kwa upande wake ameibuka na ushindi wa tuzo ya Msanii bora wa Afrika Mashariki.

Ratiba ya Diamond kuingia Tanzania ilikua July 29 lakini kutokana na sababu walizosema zilizokuwa nje ya uwezo wao safari yao ikasogezwa mpaka July 30 na alifanikiwa kuingia saa 1 asubuhi.

Ingawa hali ya hewa ilikua imetawaliwa na manyunyu pamoja mvua ndogo ndogo,Hizi ni baadhi ya picha za mashabiki waliojitokeza kumpokea Diamond.

Pia Diamond Amesema haya
Japokuwa nina show Canada tareh 2 lakini ilinibidi kwanza nilete Mzigo nlioagizwa na Wananchi Nyumbani kisha ndio nirudi kuendelea na shughuri zangu!... Kama wasemavyo "There is no place like Home... Ever!"

Wednesday, July 30, 2014

Video: Alichokisema Diamond baada ya ushindi AFRIMMA

Weekend ya usiku wa kuamkia July 27 2014 ndio Diamond na Lady Jaydee wametangazwa kuwa washindi wa tuzo kwenye tuzo za AFRIMMA2014 zilizotolewa nchini Marekani zikiwa zimewashindanisha mastaa wakubwa wa Afrika kama vile Davido, Mafikizolo, 2Face na wengine.  Kama ulitamani kuona Diamond akihojiwa baada ya ushindi huo hii ndio time yako mtu wangu.


Friday, July 25, 2014

New Video: Barnaba - Wahalade

New Video: Barnaba - Wahalade


Hii ndiyo video aliyo share Agnes Masogange akionyesha anavyojuwa kukata mauno

Kwa upande wa Afrika Mashariki wakizungumziwa warembo wenye umbo la mvuto, Kwa Tanzania wengi watamtaja Agnes Masogange na Kenye basi watamtaja Corazon Kwamboka warembo amabao wamekuwa waki make headline mara kwa mara kwenye social media wanapokuwa wana share picha au video zao.

Leo kupitia account yake ya Instagram, mrembo Agnes Masogange ame share video aki cheza nakuipa jina la part one. Hatujui Part two na nyingine kama zitakuja na zitakuja lini.

Itazame hii akionyesha mbali na umbo la uzuri basi anajuwa kukata mauno pia.