Kampuni ya Lionsgate imeamua kuchukua hatua ya kisheria dhidi ya tovuti za Torrent kwa madai ya kuvujisha filamu ya The Expandables 3 wiki mbili kabla ya kuachiwa rasmi.
Lionsgate imezitaja tovuti hizo kuwa ni Limetorrents.com, Billonuploads.com, Hulkfile.eu, Played.to, Swantshare.com, na Dotsemper.com.
Katika kesi hiyo, kampuni hiyo kubwa ya filamu inadai kuwa ilituma barua nyingi kwa kila tovuti ikiwataka kuiondoa Expandables 3 tangu July 26 hadi July 31 lakini tovuti hizo hazikujibu chochote.
Lionsgate wanataka mahakama itoe amri ya kusitisha kuendelea kuitumia filamu hiyo na pia kulipia fidia kwa hasara walioisababishia kampuni hiyo.
The Expandables 3 imeshakuwa downloaded kwenye mitandao zaidi ya mara milioni moja, lakini inatakiwa kuoneshwa kwa mara ya kwanza katika majumba ya cinema ya Marekani kuanzia Agust 15 mwaka huu.
Filamu hiyo imeandikwa na Sylvester Stallone aka Rambo, na kuwakutanisha waigizaji wakubwa kama Jet Li, Harrison Ford, Mel Gibson, Wesley Snipes, Victor Ortiz, Dolph Lundgren na wengine.
Showing posts with label Movie. Show all posts

Monday, August 4, 2014
Thursday, July 31, 2014
Picha: Rapper Iggy Azalea Kuonekana Kwenye Filamu ya Fast & Furious 7
Rapper wa kike kutoka Australia Iggy Azalea anayetamba na nyimbo kama Fancy na No Mediocre amepata nafasi ya kuonyesha kipaji chake cha kuigiza kwenye filamu kubwa ya Fast & Furious 7.
Habari hizi nzuri kwa wapenzi wa filamu zimetangazwa na mwigizaji Vin Diesel ambaye mara nyingi hufanyiwa Interview kuhusu hizi filamu. Interview hii amefanyiwa na Skyrock Fm. Filamu hii inatoka April 3 2015 na itahusisha wasanii waliokuwepo kwenye tolio lililopita kama Ludacris na Tyrese

Labels:
Entertainment,
Movie
Friday, July 25, 2014
Perfect Copy Of 'The Expendables 3' Leaks Online 3 Weeks Before The Movie Hits Theaters
The third installment of the popular The Expendables movie franchise won't hit theaters until August 15th, but a near perfect copy has already leaked online.
According to TorrentFreak, the movie has been downloaded at least 200,000 times since it hit the internet on Thursday, July 24.
It's not a secret that all movies eventually leak. Grainy cam versions, recorded by somone in the audience, usually hit the net a week or so after a new movie is released. Better copies appear in the weeks or months that follow, but a near DVD quality copy like the Expendables 3 is a rarity. Especially when you take into account that there are still several weeks before audiences will see it on the big screen.
In 2009 X-Men Origins: Wolverine leaked two months before its release date. However, it was unfinished and lacked special effects
Lionsgate executives are most likely in a state of panic thinking of the millions of dollars they will lose. The first two Expendables movies made a combined $575 million at the box office worldwide.
The latest version is packed with star power. It stars Antonio Banderas, Harrison Ford, Mel Gibson, Arnold Schwarzenegger, Sylvester Stallone, Wesley Snipes, Kelsey Grammer, Jason Statham, Glen Powell, Ronda Rousey, Victor Ortiz and Terry Crews.
I'm betting the film will still do well at the box office. Pirating will always be an issue, but true movie fanatics love the big screen experience and don't bother with downloading illegal copies.

Hii hapa movie ya 'The Expendables 3' ipate hapa
Ikiwa inategemeka kuachiliwa mwezi wa August 15, 2014, hii ni kama bahati kupatikana mtandaoni mapema hivi.
Unaweza kui download hapa sasa movie ya The Expendables 3, tumia link hii hapo chini copy kisha itumie ku downlodia movie yako.
http://kickass.to/the-expendables-3-2014-dvdscr-leaked-clean-xvid-mp3-rarbg-t9373184.html
Filming Locations: Bulgaria
Motion Picture Rating: Rated PG-13 for violence including intense sustained gun battles and fight scenes, and for language
Director: Patrick Hughes
Stars: Sylvester Stallone, Jason Statham & Jet Li
Synopsis: Barney and his team, known as "The Expendables", come into conflict with ruthless arms dealer Conrad Stonebanks, the Expendables' co-founder, who is determined to destroy the team.
Kama huku bahatika kuiona trailer yake basi itizame hapa

Saturday, July 19, 2014
Baada ya Zendaya kujitoa, Alexandra Shipp achukua nafasi ya kuigiza maisha ya Aaliyah
Wakati muigizaji Zendaya Coleman akishindwa kuvumilia mashambulizi ya mashabiki wa Aaliyah na ukosoaji wa familia ya muimbaji huyo na kuachana na mpango wa kuigiza filamu ya maisha yake, muigizaji Alexandra Shipp amchukua nafasi hiyo.
Alexandra ni muigizaji aliyeingia kwenye tasnia ya filamu tangu akiwa mdogo kama ilivyokuwa wa Zendaya na amewahi kushiriki episodes za ‘Switchd at Birth’, ‘Awkward’ na ‘Ray Donovan’.
Tangazo la kushirikiwa kwa Alexandwa lilitangazwa pamoja na waandaaji watendaji wa filamu hiyo, kampuni ya Wendy Williams.
Hata hivyo, familia ya Aaliyah ilijitokeza na kulaani filamu iliyopewa jina la Aaliyah: Princess of R&B kwa madai kuwa Lifetime haikuwa na vigezo vya kutosha kutengeneza simulizi la Aaliya. Inaripotiwa kuwa tayari familia hiyo imekodi mwanasheria kupinga hatua hiyo.

Tuesday, July 15, 2014
Movie ya 'The Other Woman' Nicki Minaj akiwa ndani, Unaweza ku ipata hapa
Filming Locations: New York City, New York, USA
Motion Picture Rating: Rated PG-13 on appeal for mature thematic material, sexual references and language
Director: Nick Cassavetes
Stars: Kate Upton, Cameron Diaz and Leslie Mann
Synopsis: After discovering her boyfriend is married, Carly soon meets the wife he's been betraying. And when yet another love affair is discovered, all three women team up to plot revenge on the three-timing S.O.B.
Kui download tumia/copy link hapo chini.
http://kickass.to/the-other-woman-2014-hdrip-xvid-juggs-etrg-t9331867.html
Kama huku fanikiwa kuitizama trailer yake, Ipo hapo chini.

Movie ya Transformers Age of Extinction 2014 imeshatoka, Unaweza kuipata hapa sasa
An automobile mechanic and his daughter make a discovery that brings down the Autobots - and a paranoid government official - on them.
Director: Michael Bay
Writer: Ehren Kruger
Stars: Mark Wahlberg, Nicola Peltz, Jack Reynor
Genres: Action | Adventure | Sci-Fi
Country: USA
Language: English
Ku download tumia link hapo chini/Copy link hiyo kisha itumie ku download.
http://kickass.to/transformers-age-of-extinction-2014-new-source-hdts-x264-ac3-titan-t9331558.html
Kama hukubahatika kui tizama traile yake basi itizame tena hapa.

Movie,
Video
Sunday, July 13, 2014
Picha: Diamond Platnumz akiwa kwenye red carpet ya uzinduzi movie ya 'Think like a men to'
![]() |
| Msanii Diamond Platnumz akihojiwa wakati wa uzinduzi wa filamu ya THINK LIKE A MEN jana. |
![]() |
| Msanii Diamond Platnumz pamoja na wageni alioambatana nao akiwemo Mkurugenzi wa Ufundi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba wakati wakiwasili katika uzinduzi huo. |
Labels:
Entertainment,
Movie,
Photos
Thursday, July 10, 2014
New Movie: A Long Way Down (2014) unaweza kui download hapa
Release Date: July 11, 2014
Motion Picture
Rating: Rated R for language
Director: Pascal Chaumeil
Stars: Pierce Brosnan, Imogen Poots and Aaron Paul
Synopsis: Four people meet on New Year's Eve and form a surrogate family to help one another weather the difficulties of their lives.
Kui download tumia/copy link hii hapa chini
Tazama trailer.

http://kickass.to/a-long-way-down-2014-720p-brrip-x264-yify-t9314269.htmlHizi ni picha za movie hiyo.
Tazama trailer.
Labels:
Movie
Wednesday, July 9, 2014
Hii hapa list ya Top Ten movie za week hii
1. Transformers: Age of Extinction
A mechanic and his family join the Autobots as they are targeted by a bounty hunter from another world.
2. Tammy
After losing her job and learning that her husband has been unfaithful, a woman hits the road with her profane, hard-drinking grandmother.
3. 22 Jump Street
After making their way through high school (twice), big changes are in store for officers Schmidt and Jenko when they go deep undercover at a local college.
4. Deliver Us from Evil
NY police officer Ralph Sarchie investigates a series of crimes. He joins forces with an unconventional priest, schooled in the rituals of exorcism, to combat the possessions that are terrorizing their city.
5. How to train Your Dragon
When Hiccup and Toothless discover an ice cave that is home to hundreds of new wild dragons and the mysterious Dragon Rider, the two friends find themselves at the center of a battle to protect the peace.
6. Earth to Echo
After receiving a bizarre series of encrypted messages, a group of kids embark on an adventure with an alien who needs their help.
7. Maleficent
Avengeful fairy is driven to curse an infant princess, only to discover that the child may be the one person who can restore peace to their troubled land.
8. Jersey Boys
The story of four young men from the wrong side of the tracks in New Jersey who came together to form the iconic 1960s rock group The Four Seasons
9. Think Like a Man Too
All the couples are back for a wedding in Las Vegas, but plans for a romantic weekend go awry when their various misadventures get them into some compromising situations that threaten to derail the big event.
10. Edge of Tomorrow
An officer finds himself caught in a time loop in a war with an alien race. His skills increase as he faces the same brutal combat scenarios, and his union with a Special Forces warrior gets him closer and closer to defeating the enemy.

Tuesday, July 8, 2014
Movie ya Godzilla-2014 unaweza kuipata hapa
The world's most famous monster is pitted against malevolent creatures who, bolstered by humanity's scientific arrogance, threaten our very existence.
Director: Gareth Edwards
Writers: Max Borenstein (screenplay), Dave Callaham (story)
Stars: Aaron Taylor-Johnson, Elizabeth Olsen, Bryan Cranston
Genres: Action | Adventure | Sci-Fi
Country: USA | Japan
Language: English
Ku download copy/tumia link hapo chini

http://kickass.to/godzilla-2014-tc-cropped-xvid-crys-t9301252.htmlTazama trailer.
Saturday, July 5, 2014
Unaweza kuipata movie ya 'Age of Tomorrow' na ku download hapa

Mankind must fight to survive as Earth is invaded by hostile UFOs bent on destroying the planet. As the epic battle wages on, astronauts sneak aboard the mothership where they discover a portal to the aliens' home world. They manage to alert Earth before they are brutally murdered. Left with no other choice, Earth sends an elite military team of science and combat specialists through the portal where they attempt to stop the invasion from the inside out. But is the battle already lost for humanity?GENRE...............: Action
FILE SIZE...........: 1.24 GB
RESOLUTION..........: 1920*1080
FRAME RATE..........: 23.976 fps
AUDIO...............: 92.0 Kbps AAC-LC (2CH)
SUBTITLES...........: NONE
LANGUAGE............: English
RUNTIME.............: 90Filming Locations: Los Angeles, California, USA
Motion Picture
Rating: Not Rated
Director: James Kondelik
Stars: Kelly Hu, Anthony Marks and Robert Picardo
Kui download copy/tumia link hapo chini na u enjoy
http://kickass.to/age-of-tomorrow-2014-1080p-brrip-x264-yify-t9291660.htmlTazama Trailer yake kama hukuwahi kuitazama mwanzo.
Friday, July 4, 2014
Genevieve Nnaji awatuhumu waandishi kumuwekea maneno mdomoni kuiponda Nollywood
Muigizaji wa kike wa Nigeria, Genevieve Nnaji amekanusha vikali taarifa zilizoelekezwa kwake kuwa ameiponda kiwanda cha filamu cha Nigeria kuwa ni hakieleweki kwa ubora wake na hazina ladha. Habari zilizoandikwa na waandishi wa habari na kukaririwa kuwa ni maneno aliyoyasema muigizaji huyo kwenye mahojiano aliyofanya na kituo kimoja.
Genevive ameandika maelezo marefu kwenye Instagram.
“I never called my industry bland and mediocre. Truth or not, they were NOT MY WORDS. As a person/writer, you can "assume" what you like about my thought process but DO not project those thoughts as "quotes" by me. It's distasteful, insensitive and quite unprofessional. It's insulting to those limited few working hard to make a difference in the industry. I am a product of Nollywood and my loyalty remains unshaken.”
Katika interview aliyofanya, Genevive aliulizwa kwa nini haonekani kwenye tasnia ya filamu za Nollywood kwa muda mrefu na hapo maelezo yake yakazua mengine. Maelezo haya ndio yaliyozua kesi ya kuwa ameiponda tasnia ya filamu Nigeria.
“Nadhani bado sijapata script sahihi. Ubunifu na undani ni ubora ninautafuta kwenye script. Mwanzoni, kiwanda cha filamu kilihamasisha zaidi katika wingi lakini vitu vimebadilika na kuna maendeleo katika filamu. Mimi ni mmoja kati aya watu wanaojaribu kupigania ungezeko la ubora katika tasnia. Kwa hiyo, nipo naangalia aina ya story ninazoweza kuwa sehemu yake. Ninasapoti filamu ambazo zinaonesha weledi na ubunifu.
Kwa kuwa nimeshafanya kwa vitendo sanaa yangu katika level ya kimataifa na kwa weledi nimeandaa stories kama ‘Ije’, Mirror Boy’ na Tango With Me’. Sidhani kama ninaweza kurudi kwenye ubora usioeleweka na usiosisimua uliokuwa unachukuliwa kama sifa ya Nollywood huko zamani.”
![]() |
| Genevieve Nnaji |

Thursday, July 3, 2014
New Movie: 'Heaven is for Real' unaeza ku ipata hapa
Filming Locations: Manitoba, Canada Motion Picture Rating: Rated PG thematic material including some medical situations
Director: Randall Wallace
Stars: Kelly Reilly, Greg Kinnear & Thomas Haden Church Synopsis: A small-town father must find the courage and conviction to share his son's extraordinary, life-changing experience with the world.
Unaweza ku download kwakutumia/copy link hapo chini
Tazama trailer yake.

http://kickass.to/heaven-is-for-real-2014-720p-brrip-x264-yify-t9286523.html
Tazama trailer yake.
Labels:
Movie
Saturday, June 28, 2014
Selena Gomez, Mary Louise Parker, Nat Wolff na Justin Bieber ndani ya movie hii 'Behaving Badly'
Motion Picture Rating: Rated R for crude sexual content and language throughout, some graphic nudity, and drug material
Director: Tim Garrick
Stars: Selena Gomez, Mary-Louise Parker and Nat Wolff
Synopsis: Teenager Rick Stevens, has a crush on Nina Pennington, they form a friendship and embark on a rock n' roll journey together while Nina deals with her overbearing boyfriend, Kevin.

Download movie hii kwaku tumia link hapo chini...
http://kickass.to/behaving-badly-2014-brrip-xvid-juggs-etrg-t9240282.html
Tazama trailer.
Labels:
Entertainment,
Movie,
Video
Subscribe to:
Posts (Atom)