Vyombo vya habari na mitandao ya kijamii vililiweka jina la msanii Fid Q kwenye headline kubwa baada ya kuchukuwa tuzo ya msanii bora wa hip hop wakati wa utolewaji wa tuzo za KILI mwakahuu.
Lakini hivi sasa inaonyesha msanii huyu yupo mbioni kuachilia ngoma yake ambayo ameimba kwa mfumo wa Rn'B kitu ambacho kinamchukuwa muda mwingi na kumpa wakati mgumu kuweza kuendana na flow ya Rn'B.
Kwaupande wake Ngosha 'Fid Q' haja liongelea hilo swala, japokuwa producer Kerry Kerwin ambaye anashughulikia ngoma hiyo ndiye aliye onekana ku post video kwenye instagram.
Tizama video.
Monday, August 4, 2014
Video: Mkali wa nyimbo za Hip Hop nchini 'Fid Q' aamuwa kuingia studio na ku record ngoma ya Rn'B
Labels:
Entertainment,
Video