Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Tuesday, August 5, 2014

Picha: Fans wamshambulia Shilole kwa vazi la nusu utupu aliloingia nalo kwenye ya live interview na Mlimani TV

Habari inayo make headline kwa mwimbaji wa nyimbo za Bongo fleva na mduara nchini Tanzania, Shilole aka 'Shishi bybee /she roll it' ni juu ya yeye kuwania Ubunge mwaka 2015 nchini Tanzania kwenye jimbo la Igunga.
Lakini siku ne zilizo pita mwimbaji huyu alishindwa kutunza heshima yake baada ya kuingia kwenye interview na television ya MLIMANI akiwa kavaa vazi lakumuweka mapaja wazi kwenye kipindi cha moja kwa moja 'live'.
Baada ya kutoka TBC tv taifa! Now nipo mlimani tv live! Na @gboytheg
Haya ndiyo baadhi ya maneno walio mwambia fans baada ya ku post hiyo picha hapo juu kwenye account yake ya Instagram.
mwendapoleoriginal HAPA HAPANA. UNA MCHUMBA NA WATOTO WANAOKUTIZAMA. HATA UKIJISITIRI BADO MASHABIKI WATAKUPENDA TUU. SIO LAZIMA UKAE UCHI''

glady_baby Uwiii my shilole sijaona hii picha jana ningekupa ya moyon anyway acha nikupe hapa hapa jitambue hasa sehem na sehem ok kuna sehem.za shoo ok kujiachia si mbaya ila isipitiliz pia km kweny inteview mh hapan jarib kujistiri ww mchumba wa mtu isishangae siku ukikataliw ukwel si kwamba wakwe awakupend no tatizo mavaz yamezid jarib kubadilikaa ilo litakusaidia jion nakuja home tutaongea zaid dear ila fanyia kazi hapa mh