Cover la wimbo wa Nicki Minaj unaokuja kwa jina la 'Anaconda' ambalo lina make headline sana kwenye mitandao
Jana rapper kutoka kundi la YMCMB 'Young Money Cash Money Billionaire' anaye sifika kwa ku rappu kama katuni Nicki Minaj aliachilia picha ya cover la wimbo wake wa 'Anaconda' ambalo limechukuwa headline sana kwenye mitandao ya kijamii.
Hii hapa ndiyo picha ambayo wame edit kutoka kwenye cover hilo na haya ndiyo maneno ya Nicki Minaj baada ya kuona cover hilo lilivyo fanywa.
Hiki ndicho alichosema Nicki Minaj
Doing the most. Who did this??? 😩😩😩😩😩😂😂😂😂😂😂 Google my ass. Only time u on the net is when u #GoogleMyAss. Memba that line? What song? 👀😜''