Huyu binadamu jamani tokea nimuone kwenye Mtv Awards sijamuona mpaka leo... Kiukweli nimemmiss saaaaana.... Mpuuzi wangu mwenyewe... Miss u shem lake... @ommydimpoz @ommydimpoz @ommydimpoz @ommydimpoz @ommydimpoz @ommydimpoz''Haya ndiyo majibu ya Ommy Dimpoz ambapo ame share picha wakiwa pamoja na Wema Sepetu.
Thursday, July 31, 2014
Baada ya Wema kueleza alivyo m-miss, Hizi ndizo picha alizo share Ommy Dimpoz akiwa na Wema
Siku tano zilizo pita kupitia mtandao wa Instagram, Mwigizaji wa filamu hapa Tanzania, Wema Sepetu aliandika kuwa ame mmiss msanii wa nyimbo za bongo fleava Ommy Dimpoz.
Labels:
Entertainment,
Photos