Mwimbaji wa kike wa Bongo Flava, Ray C hatimaye amemjibu mmiliki wa top Band, TID baada ya kumtolea matusi siku kadhaa zilizopita alipomuomba wazungumze.
Ray C ameyatoa majibu yake kupitia Instagram katika ujumbe alioukuwa wamewalenga pia mashabiki wake.
“Hi everyone!!!Asanteni kwa maombi yenu!mama anaendelea vizuri Mungu ni Mwema…………(na kuhusu @tidmnyama -Nimeona post yako,Asante kwa matusi yako ila sikuwa na nia mbaya tofauti na ulivyofikiria anyway Nakuombea kwa Mungu akuepushe na majanga ya dunia!ubarikiwe sana babaa………..”
Sintofahamu kati ya Ray C na TID ilikuja baada ya Ray C kuandika kwenye post ya TID akimuomba waongee, “Come lets talk Tid ur the best musician in east Africa pls lets talk @tidmnyama.”
Ingawa hakufafanua alichotaka kuzungumza nae, mmiliki huyo wa Top Band aliweka maelezo yake yenye matusi.
“Bich leave me alone am not ur type also I dont need shit from you,ur mistake is yours nakuomba can u jus fck off,help ur boyfriend,I have never liked you,full stop.”
Popular Posts
-
New Music: Professor Jay ft J Hustle and Nigga J - 3 Chafu
-
The third installment of the popular The Expendables movie franchise won't hit theaters until August 15th, but a near perfect copy has ...
-
1. Transformers: Age of Extinction A mechanic and his family join the Autobots as they are targeted by a bounty hunter from another wor...
-
Download wimbo Kamili HAPA MKITO wa Msanii mdogo wa Umri Mkubwa wa akili aka "Jose G" akiwa amemshirikisha Legendary SpacDaw...
-
Meet Corazon Kwamboka from Kenya,which i prefer to call MISS B00TY,she’s beautiful and voluptuous, check out her stunning photos After ...
-
New Music: Monii ft Roma & GodZilla - Hatuhesabu Masaa
-
Baadhi wanawake siku hizi wamekuwa wakijiuliza vazi gan ambalo linafaa kuvaliwa wakati wa usiku na likawapendeza sasa unaweza kutazama pic...
-
Wakati Michael Jackson akiwa amelala kwenye nyumba yake ya milele, bado familia yake imeendelea kuandamwa na tuhuma nzito zinazomhusu mfalme...
-
New Music: Chidi Benz Feat Bob Junior - Mahaba Niuwe
-
Siku 74 baada ya kufunga ndoa na Kanye West huko Florence, Italia Kim Kardashian amefuata taratibu za kisheria na kubadili jina lake rasmi k...
Advertisement
Advertisement
Advertisement With Us