Siku ya pili ya hatua ya nane bora ya michuano ya kombe la dunia imeanza kwa mchezo uliozikutanisha Argentina vs Belgium.
Mchezo huo ulioisha hivi punde umemalizika ubao wa matokeo ukionyesha ushindi wa 1-0 kwa Argentina, bao la mshambuliaji wa Napoli Gonzalo Higuain likiipeleka timu hiyo ya Amerika ya kusini kwenye nusu fainali.
Argentina sasa anamsubiri mshindi kati ya Costa Rica dhidi ya Uholanzi kwa ajili ya mchezo wa nusu fainali.
Saturday, July 5, 2014
Fulltime ya Argentina 1 - 0 Belgium, FIFA World Cup 2014 tazama video za magoli yote hapa
Labels:
Sports