Ndoto za mabingwa wa Afrika Nigeria kuingia kwenye historia ya kucheza hatua 8 bora ya michuano ya kombe la dunia zimefutika rasmi leo.
Wakicheza mchezo wa hatua ya 16 bora dhidi ya Ufaransa, Nigeria imekubali kipigo cha 2-0.
Mabao ya Ufaransa yalifungwa na Paul Pogba kwenye dakika 79 ya mchezo, huku winga Griezman akipigilia msumari wa mwisho kwenye jeneza kwa goli la dakika ya 90 baada ya mabeki wa Nigeria kuzubaa na kumuacha Valbuena apige krosi iliyoleta madhara.
Ufaransa inasubiri mshindi wa mechi kati ya Algeria vs Ujerumani kwa ajili ya robo fainali itakayopigwa jumapili.
Popular Posts
-
New Music: Professor Jay ft J Hustle and Nigga J - 3 Chafu
-
The third installment of the popular The Expendables movie franchise won't hit theaters until August 15th, but a near perfect copy has ...
-
Download wimbo Kamili HAPA MKITO wa Msanii mdogo wa Umri Mkubwa wa akili aka "Jose G" akiwa amemshirikisha Legendary SpacDaw...
-
1. Transformers: Age of Extinction A mechanic and his family join the Autobots as they are targeted by a bounty hunter from another wor...
-
Meet Corazon Kwamboka from Kenya,which i prefer to call MISS B00TY,she’s beautiful and voluptuous, check out her stunning photos After ...
-
Baadhi wanawake siku hizi wamekuwa wakijiuliza vazi gan ambalo linafaa kuvaliwa wakati wa usiku na likawapendeza sasa unaweza kutazama pic...
-
Siku 74 baada ya kufunga ndoa na Kanye West huko Florence, Italia Kim Kardashian amefuata taratibu za kisheria na kubadili jina lake rasmi k...
-
New Music: Chidi Benz Feat Bob Junior - Mahaba Niuwe
-
Wakati Michael Jackson akiwa amelala kwenye nyumba yake ya milele, bado familia yake imeendelea kuandamwa na tuhuma nzito zinazomhusu mfalme...
-
New Music: Monii ft Roma & GodZilla - Hatuhesabu Masaa
Advertisement
Advertisement
Advertisement With Us