‘Diamond Platinumz’ ni jina ambalo linakubalika zaidi ama jina la msanii wa bongo flava mwenye mashabiki wengi zaidi nchini Tanzania, lakini umati wa mashabiki wanaompenda Diamond ni soko la wajasiriamali ambao wanalitumia kuingiza siku.
Hivi sasa wapo wafanyabiashara wanaouza fulana zenye jina au picha ya Diamond bila makubaliano yoyote na msanii huyo.
Hata hivyo, wafanyabishara hao hawatakiwi kuwa na hofu. Mwimbaji huyo amefunguka katika kipindi cha The Jump Off cha 100.5 Times Fm na kuwapa ruhusa wale wote wanaofanya hivyo.
“Kuwekwa tu pale kwangu mimi nimefurahi, nisiwe mnafiki. Siwezi kusema nimesikia uchungu eti kwa nini ametumia sura yangu hivyo.
Yaani nimefurahi kwa sababu ninaona kama taifa limeni-appreciate kazi yangu na mtu katengeneza t-shits na kauza imeuzika kweli kwa sababu inaweza kuwekwa bwana ‘Salamu’ isiuzike (kicheko)…..mimi kwangu ni rukhsa” Amesema.
Ruhusa hii imepekwa hadi kwenye saloon. Hata hivyo, ametahadharisha kutotumia brand ya ‘Wasafi Classic’ kwa sababu hiyo ni brand yake. “Labda mtu atumie ‘Wasafi’, hapo tatizo lingine.”
Credit Times Fm.
Popular Posts
-
New Music: Professor Jay ft J Hustle and Nigga J - 3 Chafu
-
Download wimbo Kamili HAPA MKITO wa Msanii mdogo wa Umri Mkubwa wa akili aka "Jose G" akiwa amemshirikisha Legendary SpacDaw...
-
New Music: Chidi Benz Feat Bob Junior - Mahaba Niuwe
-
The third installment of the popular The Expendables movie franchise won't hit theaters until August 15th, but a near perfect copy has ...
-
1. Transformers: Age of Extinction A mechanic and his family join the Autobots as they are targeted by a bounty hunter from another wor...
-
Meet Corazon Kwamboka from Kenya,which i prefer to call MISS B00TY,she’s beautiful and voluptuous, check out her stunning photos After ...
-
New Music: Monii ft Roma & GodZilla - Hatuhesabu Masaa
-
Men have to love the fact that twerking has gone from the hood other countries around the world. I just hope they don't think Miley Cy...
-
Baadhi wanawake siku hizi wamekuwa wakijiuliza vazi gan ambalo linafaa kuvaliwa wakati wa usiku na likawapendeza sasa unaweza kutazama pic...
-
Beef ya mastar wa Nigeria inaonekana bado haijaisha baada ya Davido kuzungumzia kitu gani kilimkasirisha hadi bifu na Wiz Kid kutokea, Wiz...
Advertisement
Advertisement
Advertisement With Us