Baada ya misukosuko kumkumba mwanamuziki Chris Brown, ni baada tu ya siku chache kutoka jela, kumetokea na rumors kuwa yeye pamoja na girlfriend wake wamekuwa engaged na mpango wa harusi iko mbioni kufanyika, Karrueche ambaye ndiye mpeniz wake Chris Brown wa sasa amefunguka kuhusiana na habari hizo zilizokuwa zina-make headlines duniani.
“I have been pregnant one hundred times, I have been engaged one hundred times but no I am not”
”I’m just happy he is home and not in that state of mind anymore. I’m working, he is working and we are in a good place in our relationship, we are happy”.
”It feels good, you know regardless of whether it’s behind the scenes or in public we have our connection, we have our relationship, and I love it.”-alifunguka Karrueche .
Mbali na kukanusha habari hizo, Karrueche na Chris wameonekana kuendelezea mapenzi yao pale walipoishia kabla ya chris kuingia jela, na inasemekana hivi sasa mapenzi yao ni hadharani na mambo yako moto moto kwa wapendanao hao, Chris na mpenzi wake walionekana kutokujali hata kuonyesha mapenzi yao hadharani, tena bila kujali kamera za paparazi, nakuonekana ni mtu mwenye furaha zaidi tena zaidi hata ya kipindi kile alipokuwa na mpenzi wake wa zamani,Rihanna.
Popular Posts
-
New Music: Professor Jay ft J Hustle and Nigga J - 3 Chafu
-
Download wimbo Kamili HAPA MKITO wa Msanii mdogo wa Umri Mkubwa wa akili aka "Jose G" akiwa amemshirikisha Legendary SpacDaw...
-
New Music: Chidi Benz Feat Bob Junior - Mahaba Niuwe
-
The third installment of the popular The Expendables movie franchise won't hit theaters until August 15th, but a near perfect copy has ...
-
1. Transformers: Age of Extinction A mechanic and his family join the Autobots as they are targeted by a bounty hunter from another wor...
-
Meet Corazon Kwamboka from Kenya,which i prefer to call MISS B00TY,she’s beautiful and voluptuous, check out her stunning photos After ...
-
New Music: Monii ft Roma & GodZilla - Hatuhesabu Masaa
-
Men have to love the fact that twerking has gone from the hood other countries around the world. I just hope they don't think Miley Cy...
-
Baadhi wanawake siku hizi wamekuwa wakijiuliza vazi gan ambalo linafaa kuvaliwa wakati wa usiku na likawapendeza sasa unaweza kutazama pic...
-
Beef ya mastar wa Nigeria inaonekana bado haijaisha baada ya Davido kuzungumzia kitu gani kilimkasirisha hadi bifu na Wiz Kid kutokea, Wiz...
Advertisement
Advertisement
Advertisement With Us