Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Thursday, July 3, 2014

Diamond Platnumz ashinda tuzo za KORA a kuwa msanii bora wa kiume toka East Africa, na haya ndiyo aliyo sema

Baada ya kupambana kwenye tuzo mbali mbali, sasa msanii wa nyimbo za bongo fleva Nasib Abdul aka Diamond Platnumz ameibuka kidedea kwenye KORA Music Awards kwenye kipengele cha a kuwa Msanii Bora wa Kiume Toka East Africa.
Platinum Certificate
Na haya ndiyo aliyosema kama shukrani.
''Shukrani zangu za dhati ziende kwenu Wadau na Mashabiki zangu kwa Kura zenu nyingi mlizonipigia kwenye Tuzo za Kora na Kunifanikisha kushinda "Platinum Certificate" ya kuwa Msanii Bora wa Kiume Toka East Africa... Next stop! Afrimma Awards, Let's Go get it Hommies!!!!! http://afrimma.com/afrimma-nominees-2014/ '' akimaanisha anahitaji uzidi kumpigia kura kwenye tuzo nyingine za AFRIMMA ambazo zipo kategori nyingi anazo wania.

Tumia link hapo juu kumfanya mshindi tena.