Filamu mpya ambayo ilikuwa inasubiriwa kwa hamu na mashabiki pamoja na wadau wa filamu nchini iliyobatizwa jina 'Jukwaa la Mapenzi' ambayo imemshirikisha muigizaji nguli nchini marehemu Mzee Small inatarajiwa kutoka Ijumaa ya wiki hii.
Akiongea na eNewz mmoja wa waandaaji ambaye pia ni muigizaji aliyeshiriki katika filamu hiyo Hamis Chau amesema kuwa filamu hiyo iliyorekodiwa mwaka jana imeshirikisha waigizaji maarufu wakiwemo King'wendu, Mboto, Mzee Small na waigizaji wengineo wengi nchini.
Filamu ya 'Jukwaa la Mapenzi' ndio filamu ya mwisho ya marehemu Mzee Small kuigiza kabla ya kufariki kwake dunia.
Popular Posts
-
New Music: Chidi Benz Feat Bob Junior - Mahaba Niuwe
-
Download wimbo Kamili HAPA MKITO wa Msanii mdogo wa Umri Mkubwa wa akili aka "Jose G" akiwa amemshirikisha Legendary SpacDaw...
-
Baadhi wanawake siku hizi wamekuwa wakijiuliza vazi gan ambalo linafaa kuvaliwa wakati wa usiku na likawapendeza sasa unaweza kutazama pic...
-
KAULI ya nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kwamba hawezi kuoa kamwe, inadaiwa kumchefua mwandani wake, Wema Isaac Sepe...
-
Baadhi ya Mastar wa Tanzania wameamua kuweka wazi nia zao za kugombea nafasi za uongozi katika ngazi mbalimbali,miongoni mwa watu hao kwa ...
-
Siku 74 baada ya kufunga ndoa na Kanye West huko Florence, Italia Kim Kardashian amefuata taratibu za kisheria na kubadili jina lake rasmi k...
-
Wakati Michael Jackson akiwa amelala kwenye nyumba yake ya milele, bado familia yake imeendelea kuandamwa na tuhuma nzito zinazomhusu mfalme...
-
Kindumbwe ndumbwe cha michuano ya klabu Bingwa Afrika mashariki na kati maafuru Kagame Cup kinaanza kesho ambapo mechi ya ufunguzi ya Kund...
Advertisement
Advertisement
Advertisement With Us