Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Saturday, July 5, 2014

Hiki hapa kipande cha video ambacho kipo kwenye moja ya video atakazo achilia Diamond Platnumz siku ya kesho

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Diamond Platnumz ame share hiki kipande cha video ambapo ni mmoja ya utengenezwaji wa video mbili zitakazo achiliwa kesho kutoka kwa msanii huyo.

Diamond hakuweka wazi kuwa ni video inayo itwaje lakini haya ndiyo aliyo yaandika.
''Kijipande kifupi tu cha utengenezaji wa moja ya Video ntazozidondosha jumatatu Hii... Humu nimemshirikisha Kukere Master @iyanya Toka Nigeria๐Ÿ˜....! [ Jus a Short Making Clip of One of the Video that am gonna drop on Monday...and i gat ma boy @iyanya From Nigeria on This!!....Trust Me You Shouldn't wait at all..!๐Ÿ‘Œ๐Ÿ˜ ]''
Tazama video hapo chini.