Huu msemo “siku ya kifo cha nyani miti yote huteleza” umekuwa na maana kubwa kutokana na dhalili waliyopata Brazil. Goli 1-7 katika mechi ya nusu fainali ni rekodi ya kipekee – wapo wanaosema tatizo ni kocha Felipe Scolari kupanga timu mbona na mfumo mbovu.
Wengine wanasema hayo ni matokeo ya kumtegemea Neymar kuibeba Brazil, na majeraha aliyopata lilikuwa ni pengo lisilozibika kwa muda mfupi.
Lakini wapo wanaosema wachezaji wa Brazil walichanganyikiwa kuwakosa Thiago Silva na Neymar.
Kubwa kuliko yote ni kwamba wajerumani walikuwa vyema sana, wamejiandaa vizuri na hawategemei mchezaji mmoja.
Na kadri wanavyocheza mechi nyingi ndivyo wanavyozidi kuwa imara.
Brazil walikuwa wanaishiwa nguvu kila mechi waliyocheza, walikuwa wakirudi kinyumenyume.
Kimsingi, Brazil walijua tangu mwanzo kuwa hawana timu ya kutwaa taji labda wakute wapinzani dhaifu.
Swali la msingi sasa ni, je Argentina watawamudu waholanzi? Kinyume na hilo, itakuwa fainali ya mataifa ya Ulaya matupu.
Credit Taarifa.
Popular Posts
-
New Music: Professor Jay ft J Hustle and Nigga J - 3 Chafu
-
Download wimbo Kamili HAPA MKITO wa Msanii mdogo wa Umri Mkubwa wa akili aka "Jose G" akiwa amemshirikisha Legendary SpacDaw...
-
New Music: Chidi Benz Feat Bob Junior - Mahaba Niuwe
-
The third installment of the popular The Expendables movie franchise won't hit theaters until August 15th, but a near perfect copy has ...
-
1. Transformers: Age of Extinction A mechanic and his family join the Autobots as they are targeted by a bounty hunter from another wor...
-
Meet Corazon Kwamboka from Kenya,which i prefer to call MISS B00TY,she’s beautiful and voluptuous, check out her stunning photos After ...
-
New Music: Monii ft Roma & GodZilla - Hatuhesabu Masaa
-
Men have to love the fact that twerking has gone from the hood other countries around the world. I just hope they don't think Miley Cy...
-
Baadhi wanawake siku hizi wamekuwa wakijiuliza vazi gan ambalo linafaa kuvaliwa wakati wa usiku na likawapendeza sasa unaweza kutazama pic...
-
Beef ya mastar wa Nigeria inaonekana bado haijaisha baada ya Davido kuzungumzia kitu gani kilimkasirisha hadi bifu na Wiz Kid kutokea, Wiz...
Advertisement
Advertisement
Advertisement With Us