Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Saturday, July 5, 2014

Joh Makini kutoka WEUSI Kampuni kushiriki kwenye Coke Studio 2014

Kama unakumbuka mwaka jana Diamond Platnumz alishiriki katika kipindi cha TV cha Coke Studio akiwa pamoja na victoria kimani kutoka kenya na wasanii wengine kutoka Africa.
Mwaka huu wametoka wasanii watatu watakao shiriki Coke Studio akiwemo Vanessa Mdee, Diamond pamoja na Joe Makini kutoka Weusi... Joe makini ameongea ...... msikilize zaidi hapo chini

"hizo taarifanilipigiwa simu sasa hivi nafkiri a week imeisha toka nimetaarifiwa, nilipigiwa simu kwanza tukaongea, halafu  taratibu za kwenda nairobi zikaanza toka jumatatu na naondoka jumapili na ndege ya saa nne za asubuhi.

Naichukulia kama moja kati ya hatua nzuru tunazopiga kama joe makini Weusi na kama watanzania kwasababu hii platform yakekidogo  nikubwa tofauti na show ambazo nimekuwa nikifanya, kwahivyo naichukulia kama nafasi nyingine nzuri kubwa ambayo mwenyezi mungu amenipa na ambayo natakiwa niitumie vizuri ili niweze kupiga stepp nyingine kubwa zaidi.

Nitaenda mimi na G Nako kwasababu nimepewa nafasi ya kwenda na mtu mmoja tu, so G ni mtu ambaye nafanya nae vitu vingi mara nyingi so akiwa pembeni vitu vingi vinakuwa ni rahisi?

Credit DJ Fetty.