Rapper Lil Wayne ambaye ni boss wa Drake ameeleza kuwa hivi karibuni mashabiki wasubiri kuona tour yao ya pamoja ya ushindani.
Weezy ameeleza hayo wakati anazungumza na MTV katika utengenezaji wa video ya wimbo wake ‘Krazy’ ambapo alidai kutakuwa na battle kati yao kwenye majukaa mbalimbali watakapokuwa wakizunguka.
Amesema huo ulikuwa mpango wao tangu zamani kwa kuwa mara nyingi walipokuwa wakifanya shows pamoja walikuwa wanaona umati ukishangweka kwa hits zao kadhaa walipokuwa wakipokezana.
“I think it’s something like…it’s a battle tyepe thing.” Lil Wayne alifafanua. Ziara ya Drake na Lil Wayne inatarajiwa kuanza August 8 Darien Center, New York kabla hawajaanza kuizunguka Marekani.
Katika hatua nyingine, rapper huyo alielezea kuhusu ujio wa albam yake mpya ya ‘The Carter V’ inayosubiriwa kwa hamu na mashabiki wake. Alisema albam hiyo itakuwa na wasanii kadhaa wakiwemo Drake na Nicki Minaj kutoka Young Money.
Popular Posts
-
New Music: Professor Jay ft J Hustle and Nigga J - 3 Chafu
-
The third installment of the popular The Expendables movie franchise won't hit theaters until August 15th, but a near perfect copy has ...
-
Download wimbo Kamili HAPA MKITO wa Msanii mdogo wa Umri Mkubwa wa akili aka "Jose G" akiwa amemshirikisha Legendary SpacDaw...
-
1. Transformers: Age of Extinction A mechanic and his family join the Autobots as they are targeted by a bounty hunter from another wor...
-
Meet Corazon Kwamboka from Kenya,which i prefer to call MISS B00TY,she’s beautiful and voluptuous, check out her stunning photos After ...
-
New Music: Chidi Benz Feat Bob Junior - Mahaba Niuwe
-
Baadhi wanawake siku hizi wamekuwa wakijiuliza vazi gan ambalo linafaa kuvaliwa wakati wa usiku na likawapendeza sasa unaweza kutazama pic...
-
Siku 74 baada ya kufunga ndoa na Kanye West huko Florence, Italia Kim Kardashian amefuata taratibu za kisheria na kubadili jina lake rasmi k...
-
Baadhi ya Mastar wa Tanzania wameamua kuweka wazi nia zao za kugombea nafasi za uongozi katika ngazi mbalimbali,miongoni mwa watu hao kwa ...
-
New Music: Monii ft Roma & GodZilla - Hatuhesabu Masaa
Advertisement
Advertisement
Advertisement With Us