Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Friday, July 18, 2014

Miriam Odemba akava jarida la New African Woman

Mrembo na mwanamitindo waa Tanzania, Miriam Odemba amekava jarida la New African Woman la Afrika Kusini. 
Jarida hilo linahusika na urembo, mitindo, afya, familia na mambo mengine na linalenga katika kuonesha utamaduni na urembo halisi wa mwanamke wa kiafrika.  

“Finally….and…drumroll…to our esteemed South African readers….heading your way soon…here is the August/September edition South African cover. Our African Rose Miriam Odember.” Wameandika. 
Naye Miriam Odemba amepost picha ya jarida hilo kwenye Instagram na kuwashukuru waandaaji wa jarida hilo kwa kumpa nafasi hiyo.