Mke wa rapper T.I, Tiny hakutaka ugomvi mwingine utokee kwenye tuzo za BET baada ya kumkimbia kiaina bondia Mayweather aliyekuwa anajaribu kumuita.
Video iliyochukuliwa na na Hip Hollywood inamuoenesha Floyd Mayweather akijaribu kumuita Tiny wakati wapo wote kwenye red carpet, lakini Tiny anaonesha kushitukia na kukatisha interview yake haraka kisha akaondoka.
Bado Mayweather alionesha nia ya kutaka kumgusa mkono lakini Tiny aliendelea kuchapa mwendo na kujiunga na T.I.
Hata hivyo baada ya kuingia ukumbini, mchekeshaji Chris Rock ambaye alikuwa MC aliendelea kufanya utani kuhusu ugomvi wa T.I na Mayweather uliotokea mwezi mmoja uliopita baada ya Mayweather kuonekana akiwa na Tiny kwenye picha kadhaa kitendo ambacho hakikumfurahisha kabisa rapper huyo.
Popular Posts
-
New Music: Professor Jay ft J Hustle and Nigga J - 3 Chafu
-
The third installment of the popular The Expendables movie franchise won't hit theaters until August 15th, but a near perfect copy has ...
-
Download wimbo Kamili HAPA MKITO wa Msanii mdogo wa Umri Mkubwa wa akili aka "Jose G" akiwa amemshirikisha Legendary SpacDaw...
-
1. Transformers: Age of Extinction A mechanic and his family join the Autobots as they are targeted by a bounty hunter from another wor...
-
Meet Corazon Kwamboka from Kenya,which i prefer to call MISS B00TY,she’s beautiful and voluptuous, check out her stunning photos After ...
-
Baadhi wanawake siku hizi wamekuwa wakijiuliza vazi gan ambalo linafaa kuvaliwa wakati wa usiku na likawapendeza sasa unaweza kutazama pic...
-
Siku 74 baada ya kufunga ndoa na Kanye West huko Florence, Italia Kim Kardashian amefuata taratibu za kisheria na kubadili jina lake rasmi k...
-
New Music: Chidi Benz Feat Bob Junior - Mahaba Niuwe
-
Wakati Michael Jackson akiwa amelala kwenye nyumba yake ya milele, bado familia yake imeendelea kuandamwa na tuhuma nzito zinazomhusu mfalme...
-
New Music: Monii ft Roma & GodZilla - Hatuhesabu Masaa
Advertisement
Advertisement
Advertisement With Us