Kabla yakufanya mahojiano na waandishi wa habari, Neymar, 22, katika hali ya majonzi alikwenda kuwasalimia wachezaji pamoja makocha wa timu yao ya taifa wakati wakifanya mazoezi katika kambi yao kwa ajili ya kujianda na mchezo wa kumtafuta mshindi wa tatu dhidi ya Uholanzi, mchezo utakaochezwa siku ya Jumamosi.
Katika mahojiano hayo Neymar alizungumzia juu ya kuombwa msamaha na mlinzi wa Colombia aliyemsababisha akose mechi yao ya nusu fainali dhidi ya Ujerumani.
“Carlos Zuniga alinipigia simu na kuniomba msamaha na nikakubali, sidhani kama alikuwa amedhamiria kuniumiza lakini kwa watu wanaojua mpira wa miguu nadhani ile haikuwa rafuu ya kawaida”, alieleza Neymar.
Inasemekana kwamba Neymar alizima televisheni yake mara baada ya Ujerumani kufunga goli la saba, katika mchezo huo ambao uliishia kwa magoli 7-1. “Nilihisi kuchanganyikiwa na kutoamini kilicho tokea”, alisikika Neymar Pia aligusia mchezo wa fainali ambapo watani wao wa jadi Argentina watacheza na Ujerumani.
“Mimi sio shabiki wa Argentina ila nataka wachezaji wenzangu wa Barcelona Messi na Mascherano wachukue Kombe la Dunia, timu yangu ni Messi football club.”
Popular Posts
-
New Music: Professor Jay ft J Hustle and Nigga J - 3 Chafu
-
Download wimbo Kamili HAPA MKITO wa Msanii mdogo wa Umri Mkubwa wa akili aka "Jose G" akiwa amemshirikisha Legendary SpacDaw...
-
New Music: Chidi Benz Feat Bob Junior - Mahaba Niuwe
-
The third installment of the popular The Expendables movie franchise won't hit theaters until August 15th, but a near perfect copy has ...
-
1. Transformers: Age of Extinction A mechanic and his family join the Autobots as they are targeted by a bounty hunter from another wor...
-
Meet Corazon Kwamboka from Kenya,which i prefer to call MISS B00TY,she’s beautiful and voluptuous, check out her stunning photos After ...
-
New Music: Monii ft Roma & GodZilla - Hatuhesabu Masaa
-
Men have to love the fact that twerking has gone from the hood other countries around the world. I just hope they don't think Miley Cy...
-
Baadhi wanawake siku hizi wamekuwa wakijiuliza vazi gan ambalo linafaa kuvaliwa wakati wa usiku na likawapendeza sasa unaweza kutazama pic...
-
Beef ya mastar wa Nigeria inaonekana bado haijaisha baada ya Davido kuzungumzia kitu gani kilimkasirisha hadi bifu na Wiz Kid kutokea, Wiz...
Advertisement
Advertisement
Advertisement With Us