Mchezaji wa timu ya taifa ya Italia na klabu ya AC Milan, Mario Ballotelli yuko likizo na ameamua kutumia muda wake kurefresh nchini Marekani. Mchezaji huyo ameshare picha akiwa na mchumba wake, Fanny Neguesha ambaye alimvalisha pete ya uchumba siku kadhaa kabla ya kuanza mashindano ya kombe la Dunia.


