Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe ameurejea uamuzi alioufanya miaka mingi iliyopita wa kuwafukuza wakulima wa kizungu nchini humo, na sasa amekaza kamba zaidi. Mugabe ametoa tamko katika mkutano wa hadhara kuwa hawataki wakulima wa kizungu na kwamba ni lazima waondoke.
“Hatuwataki wakulima wazungu kumiliki mashamba yetu, lazima waondoke.” Rais Mugabe anakaririwa.
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, amewataka wakulima wazungu waliosalia nchini humo kuondoka na kuwaachia mashamba wazalendo wa nchi hiyo.
"hatuwataki wakulima wazungu, kumiliki mashamba yetu, lazima waondoke,'' Mugabe aliwaambia wafuasi wake katika mkutano wa hadhara.
Rais Mugabe ameendelea kushikilia msimamo wa kuwapokonya ardhi wazungu na kuwamilikisha raia wa nchi hiyo huku akitaka wazawa kutokuwa wakarimu sana kwa wazungu kwa kuwa mashamba sio yao.
Mugabe mwenye umri wa miaka 90 ameiongoza Zimbabwe tangu ipate uhuru mwaka 1980 na mwaka jana alishinda katika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo kwa kupata asilimia 61 ya kura zote zilizopigwa.
Popular Posts
-
New Music: Chidi Benz Feat Bob Junior - Mahaba Niuwe
-
Download wimbo Kamili HAPA MKITO wa Msanii mdogo wa Umri Mkubwa wa akili aka "Jose G" akiwa amemshirikisha Legendary SpacDaw...
-
KAULI ya nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kwamba hawezi kuoa kamwe, inadaiwa kumchefua mwandani wake, Wema Isaac Sepe...
-
Baadhi wanawake siku hizi wamekuwa wakijiuliza vazi gan ambalo linafaa kuvaliwa wakati wa usiku na likawapendeza sasa unaweza kutazama pic...
-
Baadhi ya Mastar wa Tanzania wameamua kuweka wazi nia zao za kugombea nafasi za uongozi katika ngazi mbalimbali,miongoni mwa watu hao kwa ...
-
New Music: Monii ft Roma & GodZilla - Hatuhesabu Masaa
-
Siku 74 baada ya kufunga ndoa na Kanye West huko Florence, Italia Kim Kardashian amefuata taratibu za kisheria na kubadili jina lake rasmi k...
-
Beef ya mastar wa Nigeria inaonekana bado haijaisha baada ya Davido kuzungumzia kitu gani kilimkasirisha hadi bifu na Wiz Kid kutokea, Wiz...
Advertisement
Advertisement
Advertisement With Us