Mhalifu hatari ambaye uzuri wake ulimletea umaarufu kwenye mitandao baada ya polisi kuweka picha yake (mug shot) anaendelea kutengeneza habari.
Siku chache baada ya kumpata meneja maarufu wa Hollywood, Mhalifu huyo anayefahamika kwa jina la Jeremy Meeks amepewa ofa ya $100,000 na kampuni ya Dogfart Productions inayojihusisha na utengenezaji wa filamu za ngono endapo atakubali kushiriki katika scenes mbili.
“We think Jeremy’s look is absolutely perfect for our network.We are ready to make the dreams of hundreds of thousands of horny women and one man looking for a new start come true”.
Imesema kampuni hiyo katika maelezo yake. Hata hivyo Jeremy ni mme wa mtu na ana mtoto mmoja hali inayoashiria kuwa kikwazo kikubwa kwa ofa ya kampuni hiyo inayoonesha filamu zilizo kinyume na maadili ya watu wasitaarabu kama Tanzania.
Popular Posts
-
New Music: Professor Jay ft J Hustle and Nigga J - 3 Chafu
-
Download wimbo Kamili HAPA MKITO wa Msanii mdogo wa Umri Mkubwa wa akili aka "Jose G" akiwa amemshirikisha Legendary SpacDaw...
-
New Music: Chidi Benz Feat Bob Junior - Mahaba Niuwe
-
The third installment of the popular The Expendables movie franchise won't hit theaters until August 15th, but a near perfect copy has ...
-
1. Transformers: Age of Extinction A mechanic and his family join the Autobots as they are targeted by a bounty hunter from another wor...
-
Meet Corazon Kwamboka from Kenya,which i prefer to call MISS B00TY,she’s beautiful and voluptuous, check out her stunning photos After ...
-
New Music: Monii ft Roma & GodZilla - Hatuhesabu Masaa
-
Men have to love the fact that twerking has gone from the hood other countries around the world. I just hope they don't think Miley Cy...
-
Baadhi wanawake siku hizi wamekuwa wakijiuliza vazi gan ambalo linafaa kuvaliwa wakati wa usiku na likawapendeza sasa unaweza kutazama pic...
-
Beef ya mastar wa Nigeria inaonekana bado haijaisha baada ya Davido kuzungumzia kitu gani kilimkasirisha hadi bifu na Wiz Kid kutokea, Wiz...
Advertisement
Advertisement
Advertisement With Us