Adam Mchomvu na Dj Fetty wakionekana wamefurahia kitu siku za nyuma |
Haya ni maneno aliyosema mtangazaji mwenzao wa Clouds FM anaye sifika kwa taarifa za michezo Shaffih Dauda juu ya ugomvi wa na kupost hiyo picha hapo juu.
"B12, Adam na Fetty..Acheni utoto. Kaeni chini muongee ili muyamalize. Mnawafaidisha Maadui zenu tuu..Angalia mpaka mmetuharibia Ofisi"