Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Friday, July 18, 2014

Sikiliza na Download Non Stop Mixx ya DJ D Ommy wa Times Fm, 'Respect The DJ'

DJ D-Ommy wa 100.5 Times Fm ameachia non stop mixx yake mpya aliyoipa jina la Respect The DJ, ikiwa ni mfululizo wa Non Stop Mixx zinazotoka kwenye mikono yake.

DJ D-Ommy ameeleza kuwa ameamua kuipa jina la Respect The DJ Mixx kwa ajili ya kuwakumbusha watu heshima ya DJ kama kiungo muhimu kwenye muziki na kwamba hii ni zawadi yake ya sikuu ya Eidd kwa mashabiki wa muziki Tanzania.  

“Non-Stop Mixx hii nimeipa jina la "RESPECT THE DJ MIXX" ili kurudisha na kukumbusha watu heshima na umuhimu wa Dj katika muziki kumbuka tunawaburudisha kupitia vipindi vya radio,Club na Non-Stop Mixx kama hizi.So Enjoy na kuburudika na Non Stop hii huku ukitafakari umuhimu wa DJ.” Amesema DJ D-Ommy kwenye maelezo yake.

Isikilize hapa: