Hatimaye michuano ya kombe la dunia inafikia tamati leo kwa mchezo wa fainali kati ya Ujerumani dhidi ya Argentina, wakati usiku wa jana mshindi wa 3 wa michuano hiyo aliamuliwa kwa mechi kati ya Uholanzi vs Brazil.
Mchezo huo uliopigwa kwenye uwanja wa taifa wa nchi hiyo, Brasilia, uliisha kwa matokeo ya ushindi wa 3-0 kwa Uholanzi, kikiwa kipigo cha pili cha Brazil ndani ya juma moja tangu walivyopokea kipigo cha magoli 7-1 kutoka Ujerumani. Magoli ya Uholanzi yalifungwa na Van Persie, Blind na Georginio Wijnaldum.
Wakati kocha wa Uholanzi Louis Van Gaal akielekea Manchester United, kocha wa Brazil Luis Fellipe Scorali amesema pamoja na kuvurunda kwa Timu yake lakini hawezi kujiuzulu na hatma yake anaiacha mikononi mwa waajiri wake shirikisho la soka la Brazil.
Popular Posts
-
New Music: Professor Jay ft J Hustle and Nigga J - 3 Chafu
-
The third installment of the popular The Expendables movie franchise won't hit theaters until August 15th, but a near perfect copy has ...
-
1. Transformers: Age of Extinction A mechanic and his family join the Autobots as they are targeted by a bounty hunter from another wor...
-
Meet Corazon Kwamboka from Kenya,which i prefer to call MISS B00TY,she’s beautiful and voluptuous, check out her stunning photos After ...
-
Download wimbo Kamili HAPA MKITO wa Msanii mdogo wa Umri Mkubwa wa akili aka "Jose G" akiwa amemshirikisha Legendary SpacDaw...
-
New Music: Monii ft Roma & GodZilla - Hatuhesabu Masaa
-
Wakati Michael Jackson akiwa amelala kwenye nyumba yake ya milele, bado familia yake imeendelea kuandamwa na tuhuma nzito zinazomhusu mfalme...
-
New Music: Chidi Benz Feat Bob Junior - Mahaba Niuwe
-
Siku 74 baada ya kufunga ndoa na Kanye West huko Florence, Italia Kim Kardashian amefuata taratibu za kisheria na kubadili jina lake rasmi k...
-
KAULI ya nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kwamba hawezi kuoa kamwe, inadaiwa kumchefua mwandani wake, Wema Isaac Sepe...
Advertisement
Advertisement
Advertisement With Us