Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Friday, July 18, 2014

Video: Drake na Chris Brown waigiza pamoja kwenye ‘skit’ ya tuzo za ESPY 2014

Siku chache baada ya kumaliza tofauti zao na kuingia studio pamoja kufanya kazi Drake na Chris Brown wameendelea kuthibitisha kuwa hakuna tena beef kati yao na kwamba hivi sasa ni marafiki walioimarishwa na tofauti zao
Wasanii hao waliwasuprise mashabiki baada ya kuonekana pamoja katika kipande cha video ya kichekesho wakati wa utoaji wa tuzo za wanamichezo walio fanya vizuri mwaka 2014 ESPYS.

Kipande hicho cha video kinamuonesha Drake akiwa amelala kitandani tayari kwa kufanyiwa upasuaji wa kidole tumbo huku akitarajia mchezaji wa mpira wa kikapu, Blake Griffin kumfanyia kuwa daktari wake.

Ghafla Blake akamtambulisha Chris Brown kama daktari atakayemshughulikia Drake.