Hatua ya 16 bora ya michuano ya kombe la dunia inazidi kupamba moto – leo hii Argentina walikuwa wanakipiga na Switzeland.
Matokeo ya mchezo huo Argentina wamefanikiwa kwenda hatua ya robo fainali kwa ushindi wa 1-0.
Goli la dakika za nyongeza la kiungo mshambuliaji wa Real Madrid Angel Di Maria lilihitimisha mchezo huo mgumu ambao mpaka kufika dakika ya 90 milango yote ilikuwa migumu.
Argentina sasa anamsubiri mshindi wa mechi kati ya Belgium dhidi ya USA kwa ajili ya Robo fainali!
Popular Posts
-
New Music: Chidi Benz Feat Bob Junior - Mahaba Niuwe
-
Download wimbo Kamili HAPA MKITO wa Msanii mdogo wa Umri Mkubwa wa akili aka "Jose G" akiwa amemshirikisha Legendary SpacDaw...
-
KAULI ya nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kwamba hawezi kuoa kamwe, inadaiwa kumchefua mwandani wake, Wema Isaac Sepe...
-
Baadhi wanawake siku hizi wamekuwa wakijiuliza vazi gan ambalo linafaa kuvaliwa wakati wa usiku na likawapendeza sasa unaweza kutazama pic...
-
Baadhi ya Mastar wa Tanzania wameamua kuweka wazi nia zao za kugombea nafasi za uongozi katika ngazi mbalimbali,miongoni mwa watu hao kwa ...
-
New Music: Monii ft Roma & GodZilla - Hatuhesabu Masaa
-
Siku 74 baada ya kufunga ndoa na Kanye West huko Florence, Italia Kim Kardashian amefuata taratibu za kisheria na kubadili jina lake rasmi k...
-
Beef ya mastar wa Nigeria inaonekana bado haijaisha baada ya Davido kuzungumzia kitu gani kilimkasirisha hadi bifu na Wiz Kid kutokea, Wiz...
Advertisement
Advertisement
Advertisement With Us