Unaambiwa iliuweze kuwa shabiki mzuri wa soka baadhi ya vitu kama ftina na majungu huna budi kukutana navyo iwe katika shughuli zako za kutafuta pesa , au kwenye viwanja vya soka wakati wakuzishuhudia mechi haswa zile za watani wajadi.
Bila kusahau kwenye ‘vibanda-umiza’ ambako ndiko utamu pamoja na mzuka wa soka ulipo.
Katika ushabiki huo pia utapata fursa za kuzifahamu a.k.a za baadhi ya mastaa mahiri kwa mfano mashabiki wengi wa soka hupenda kumuita Luis Suarez zombi (Vampire), kutokana na tabia zake za kung’ata wachezaji wa timu pinzani pale anapoona amezidiwa.
Pia unaambiwa wapo baadhi ya mastaa wa soka wasiokuwa na muonekana wa mchezo huo, baadhi ya mastaa hao ni kama wafuatao pamoja na kazi wanazopaswa kuzifanya njee ya soka;
Mario Balotteli (Gangster Rapper/hip hop),
Wayne Rooney (Boxing)
Gerrald Pique (Taxi Driver),
Bacary Sagna (Native doctor)
Oliver Giroud (Modelling),
Daniel Osvaldo (Actor)
Aristedi Bance (Armed Robber),
Ramires (Sugar-cane seller)
Scott Parker (Choir master),
Raheem Sterling ( Athletics)
Kaka (evangelist),
Ronaldo (love-vendor)
Messi (house boy),
Bale (hunter)
De Gea (sales boy),
Luis Suarez (vampire)
Kompany (military),
Demba Ba (imam)
Ibrahimovic (looking like Colombian drug dealer)
Popular Posts
-
New Music: Professor Jay ft J Hustle and Nigga J - 3 Chafu
-
The third installment of the popular The Expendables movie franchise won't hit theaters until August 15th, but a near perfect copy has ...
-
Download wimbo Kamili HAPA MKITO wa Msanii mdogo wa Umri Mkubwa wa akili aka "Jose G" akiwa amemshirikisha Legendary SpacDaw...
-
1. Transformers: Age of Extinction A mechanic and his family join the Autobots as they are targeted by a bounty hunter from another wor...
-
Meet Corazon Kwamboka from Kenya,which i prefer to call MISS B00TY,she’s beautiful and voluptuous, check out her stunning photos After ...
-
Baadhi wanawake siku hizi wamekuwa wakijiuliza vazi gan ambalo linafaa kuvaliwa wakati wa usiku na likawapendeza sasa unaweza kutazama pic...
-
Siku 74 baada ya kufunga ndoa na Kanye West huko Florence, Italia Kim Kardashian amefuata taratibu za kisheria na kubadili jina lake rasmi k...
-
New Music: Chidi Benz Feat Bob Junior - Mahaba Niuwe
-
Wakati Michael Jackson akiwa amelala kwenye nyumba yake ya milele, bado familia yake imeendelea kuandamwa na tuhuma nzito zinazomhusu mfalme...
-
New Music: Monii ft Roma & GodZilla - Hatuhesabu Masaa
Advertisement
Advertisement
Advertisement With Us