Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Wednesday, July 2, 2014

Baada ya BET, Diamond Platnumz aomba umpigie kura kwenye tuzo za AFRIMMA

Baada ya tuzo za MTVMAMA ana BET kumendea kombo, Mwimbaji wa Bongo Fleva nchini Nasib Abdul aka Diamond Platnumz akutaka Mtanzania uweze kumpigi kura kwenye category zote anazo wania kwenye AFRIMMA.

Onyesh uzalendo wako kwa kuwapigia pia kura wasanii na waandaaji wa muziki wa hapa Tanzania kwa kuwapigi kura pia.

Kupiga kura bofya hapa AFRIMMA ( AFRICAN MUSIC MAGAZINE AWARDS)