Mrembo wa nchini Argentina, Fiorella Castillo anadai kuwazidi wanaume 800 kwenye shindano la kupiga danadana. Msichana huyo mwenye miaka 24 kwa sasa ameelekeza akili yake kutaka kumuonesha ujuzi wake mchezaji Argentina na Barcelona, Lionel Messi. Ona uwezo wake kwa kutazama video hizo.
1st Video.
2nd Video.
Wednesday, July 2, 2014
Tazama video ya 'Fiorella Castillo' Mrembo wa Argentina anayepiga danadana akiwa na high heels
Labels:
Entertainment,
Sports,
Video