Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Sunday, July 6, 2014

Barnaba kumtumia mke wake kama model kwenye video yake mpya

Muimbaji wa THT, Barnaba, amesema mke wake ataonekana kwenye video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Wahalade’.
Barnana ambaye amedai atatoa video mbili kwa mpigo, amesema ameamua kumtumia mke wake kwasababu ana sifa zote za kuonekana kwenye video.
She deserves it, I believe she is beautiful more than beautiful,” Barnaba ameiambia Kikwetu Blog.

Msanii huyo aliongeza kuwa pamoja na kwamba ni mke wake, ameamua kumlipa fedha kama ambavyo angefanya kwa model mwingine.
Ameongeza kuwa video hiyo itaongozwa na director wa Tanzania lakini video itafanyika nchini Kenya