Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Thursday, July 3, 2014

D'Banj ampa 'ofa' Bill Gates baada ya kukutana na kupiga nae picha

Mwimbaji wa kutoka Nigeria, D’Banj hivi karibuni alipata nafasi kukutana na Bill Gates, mtu tajiri zaidi duniani anaekadiriwa kuwa na utajiri wa $76 Billion kwa mujibu wa Forbes. 

D’Banj na boss huyo wa Microsoft walikutana kwenye party moja ya mwimbaji wa wa U2, Bono na baadae wakapoz na kupiga picha ya pamoja. 

Tukio hilo halikuwa dogo kwa D’Banj ambaye anaamini msemo wa kitanzania, ‘ukikaa karibu na waridi utanukia’.

Alipost picha hiyo kwenye mitandao ya kijamii na kuipa maelezo yanatoa  ‘ofa’  pia kwa Bill Gate ambaye hajawahi kuimbiwa wimbo na msanii yeyote mkubwa wa Africa (wimbo mzima). 

D’Banj alieleza kuwa tukio hilo lilimemu-inspire kuandika wimbo unaomhusu Bill Gates na yeye atakaoupa jina la ‘Bill Getes Knows My Name’. 

*Hivi nilisema D’Banj amempa Bill Gates ofa!! Ooh....! inawezekana D’Banj anataka kulitumia vizuri jina la Bill Gates kufanya biashara ya muziki wake. Tusubiri ngoma!