Mwimbaji wa injili, Emanuel Mbasha amepandishwa tena kizimbani leo, July 17 katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam kujibu mashtaka mawili yanayomkabili katika kesi ya ubakaji.
Akiwa mahakamani hapo, Mbasha aliiomba mahakama kuahirisha kwa muda wa nusu saa kesi hiyo ili kumpa nafasi wakili wake kufika mahakamani hapo kwa madai kuwa alicheleweshwa na foleni.
“Unawakili? Au unatangaza nia ya kuweka wakili” Aliuliza hakimu Luago anaesikiliza kesi hiyo. Aliuliza Hakimu Wilbert Luago anaesikiliza kesi hiyo.
Hata hivyo, mheshimiwa hakimu alilikubali ombi la Mbasha na kuahirisha kesi hiyo kwa muda wa nusu saa kwa mujibu wa sheria. Baada ya kurejea, wakili aliyemuwakilisha wakili huyo wa Mbasha aliwasilisha barua ya dharura inayoonesha kuwa yuko jijini Arusha akihudhuria kesi nyingine, maelezo yaliyokuwa tofauti na maelezo ya awali.
Hata hivyo, hakimu alilikubali ombi hilo nakuahirisha kesi hiyo hadi July 23, mwaka huu huku akimtaka Mbasha kuwa na mawasiliano na wakili wake.
Emmanuel Mbasha aliyeambatana na ndugu zake wa kiume mahakamani hapo, anatuhumiwa kumbaka msichana mwenye umri wa miaka 17 katika eneo la Tabata jijini Dar es salaam.
Credit Time Fm.
Popular Posts
-
New Music: Chidi Benz Feat Bob Junior - Mahaba Niuwe
-
Download wimbo Kamili HAPA MKITO wa Msanii mdogo wa Umri Mkubwa wa akili aka "Jose G" akiwa amemshirikisha Legendary SpacDaw...
-
Baadhi wanawake siku hizi wamekuwa wakijiuliza vazi gan ambalo linafaa kuvaliwa wakati wa usiku na likawapendeza sasa unaweza kutazama pic...
-
KAULI ya nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kwamba hawezi kuoa kamwe, inadaiwa kumchefua mwandani wake, Wema Isaac Sepe...
-
Baadhi ya Mastar wa Tanzania wameamua kuweka wazi nia zao za kugombea nafasi za uongozi katika ngazi mbalimbali,miongoni mwa watu hao kwa ...
-
Wakati Michael Jackson akiwa amelala kwenye nyumba yake ya milele, bado familia yake imeendelea kuandamwa na tuhuma nzito zinazomhusu mfalme...
-
Siku 74 baada ya kufunga ndoa na Kanye West huko Florence, Italia Kim Kardashian amefuata taratibu za kisheria na kubadili jina lake rasmi k...
-
Kindumbwe ndumbwe cha michuano ya klabu Bingwa Afrika mashariki na kati maafuru Kagame Cup kinaanza kesho ambapo mechi ya ufunguzi ya Kund...
Advertisement
Advertisement
Advertisement With Us